Madogo mnadanganyana sana humu. Nadhani ni wakati wakongwe wa jukwaa turudi kuwasaidia. Tukiendelea kuwaacha hivi mtapotezana bila shaka.
Jambo ambalo uwa silipendi kwenye hili jukwaa ni ubishi kwa baadhi ya members. Hilo likirekebishwa basi tutashirikiana kwa ukaribu na mtaweza kujifunza mengi sana.

Mkuu construction management & building economics znautofauti gani na je? Wote ni ma QS"QUANTITY SURVEY" nisaidie
Soma EGM ni multi purpose chuo utakuwa flexible kusoma chochote utakacho
Angalia juu na chini,A level mengi yanatokea na sometime mtu anashindwa kupata division one au two hivyo inambid kuanzia diploma lazima ujue hilo,soma CBG ukiwa na matokeo ya chini vyuo viko vya serikali unaweza enda soma kilimo,ualimu na hata mifugo ila kwa egm hakuna kitu kama hicho kingine hapa wengi watabisha ila watoto wa masikini kwenye kazi tuna shida sana soma ambacho utapata kazi ya serikali ili ujipange vizur au si hata kama ya serikali basi uwanja wa ajira uwe mpana kwako kwa hili nenda CBG maana utakua unahesabika ni mtu wa science ambapo ukienda chuo ukasoma kozi za science ajira azisumbui,nina watu wamemaliza procurement mwaka wa 3 huu wanasaka ajira,wangu huu ni ushauri kwako