CBG kapata D tatu, asome kozi Gani?

CBG kapata D tatu, asome kozi Gani?

Wakuu habari za wakati huu.

Nina mdogo wangu amesoma mchepuo wa CBG na amepata D tatu. Naomba msaada ni Kozi Gani nzuri anaweza akasomea?
Aombe na lab science kcmU, na vyuo vingine yeye aombe suala la kupata ama kukosa hilo sio kazi yake,humu ndani kuna watu wanafikiri kila mtu atakaechaguliwa Ana A na B tu ukiwasikiliza hao utafeli
 
Watanzania acheni huu ujinga bana,yeye aombe kupata ama kukosa wewe yanakuhusu nn?umekaa apo unawaza tu atakosa unafikiri div two ni kazi rahisi kuipata au
Halafu mimi nimekwambia kistaarabu tu na ndio ukweli wenyewe sasa unapayuka na kuniita mjinga laiti ungekua unajua unaongea na nani wala usingesema hivo ila kwa kua akili yako umeifunga hapo hamna tatizo

Mimi nimesoma hapo SUA ndio maana nasema hivo sasa sijui wewe unaijua iyo kozi kiundani zaidi au wewe ndio unadahili
 
Umeuliza swali umejibiwa then unaleta mitusi, next time usilete BS zako humu tutakutoa nishai, na kwa hizo D ni ualimu tuu hakuna udaktari hapo
Acha nyege mkuu, niliyemjibu hivyo hajareact kwakuwa ana akili, kaona emoji kajua ni joke tu. Sasa wewe unakuja race na nyege zako sijui unataka kukunwa upele?

Vitu vingine ukaege kimya kama havikuhusu.. kama unawashwa Mimi siufanyi kazi ya kukukuna, kakunwe unapokunagwa siku zote
 
Ingia www.tcu.go.tz download Undergraduate Admission Guidebook inaordha ya vyuo na kozi zake na sifa za kujiunga kwa kila kozi.
Kuna issue inaitwa population competition, mfano: Kwenye udokta, wenye CCC za PCB wana qualify kwendra, cha ajabu unakuta kuna mipenda sifa ina AAA halafu unakuta ni mingi kuliko nafasi za vyuoni, haya mapenda sifa yalinikosesha udokta, wenda na mimi ningekuwa navaa koti jeupe na 3 yangu ya 14
[emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom