CBG kapata D tatu, asome kozi Gani?

CBG kapata D tatu, asome kozi Gani?

Kuna issue inaitwa population competition, mfano: Kwenye udokta, wenye CCC za PCB wana qualify kwendra, cha ajabu unakuta kuna mipenda sifa ina AAA halafu unakuta ni mingi kuliko nafasi za vyuoni, haya mapenda sifa yalinikosesha udokta, wenda na mimi ningekuwa navaa koti jeupe na 3 yangu ya 14
[emoji41][emoji41]

pole sana😂😂
 
Kozi gani, wanasona wa COMB gani, wenye CUT POINTS zp imeelezwa kwenye TCU GUIDE BOOK, Wazazi na Applicants wao wengi hawana habari na GUIDEBOOK hii! Applicants wengi wanakosea hapa
 
Aombe architecture au land management and valuation pale ARU.

Ila mkuu post namba 14 umetukana sana bila sababu za msingi.
 
Kuna jamaa tulisoma nae shule yeye nae alikuwa CBG aliendaga akasomea mambo yanayohusiana na tbs na tfda sijui n coz gan hiyo ila nahis N food and nutrition sasa hiv yuko tbs anakula maisha tu yuko njema Sana mshaur dogo akasome hiyo wengi hawaizingatiii ila ina pesa
 
Kuna issue inaitwa population competition, mfano: Kwenye udokta, wenye CCC za PCB wana qualify kwendra, cha ajabu unakuta kuna mipenda sifa ina AAA halafu unakuta ni mingi kuliko nafasi za vyuoni, haya mapenda sifa yalinikosesha udokta, wenda na mimi ningekuwa navaa koti jeupe na 3 yangu ya 14
[emoji41][emoji41]
Njaa zako ndio zilikufanya usiwe Dr sio hao jamaa wa AAA, ungeweza kushuka South au Kenya tuu nafasi kibao na kuna vyuo vizuri sana lakini huna kitu, acha lawama
 
Aombe architecture au land management and valuation pale ARU.

Ila mkuu post namba 14 umetukana sana bila sababu za msingi.
Mkuu kuna mijitu hudandia yasiyowahusu, nimefanya joke kwa jamaa yangu lenyewe limekuja mbio kuniattack ilhali mhusika hajasema kitu. Jitu kama Hilo ni la kuhasiwa na kupigwa miti kabisa
 
Mkuu kuna mijitu hudandia yasiyowahusu, nimefanya joke kwa jamaa yangu lenyewe limekuja mbio kuniattack ilhali mhusika hajasema kitu. Jitu kama Hilo ni la kuhasiwa na kupigwa miti kabisa
Kwa nn umuhasi? Kwani huwezi kumpiga hiyo Miti pasi na Kumuhasi?
 
SUA Agriculture in general na Horticulture zinzkubali kutokana na muongozo wa TCU
 
kuna kozi Udom kuhusu biology lbda aombe hiyo lkn kwanza angalia vigezo.vyake
Hiyo si inaitwa bachelor of science in biology kutokana na maoni ya wadau wanasema kwa bongo hiyo kutoboa ngumu coz imefinywa kwenye ajira kwamba hakuna za kutosha .
 
Hiyo si inaitwa bachelor of science in biology kutokana na maoni ya wadau wanasema kwa bongo hiyo kutoboa ngumu coz imefinywa kwenye ajira kwamba hakuna za kutosha .
Ohoooo kumbee
 
Back
Top Bottom