karv
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 1,802
- 3,253
Kozi hiyo ada ya kawaida ila matumizi ya kozi kwa wiki inaenda kwenye elfu 30 kuna muda huwa yanaenda mbali hadi kufikia laki 2 hapo vifaa hajanunua kama kwao anapikia mkaa bora asiendeSawa, hili sikuwa mwenye kulijua sana. Ila kwa waliopita huko huenda wameliona hilo.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app