Zero Conscious
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 254
- 519
Anaweza kuwa nani akihitimu? SamahaniFood and nutrition pale Sua
ππππ Wewe una majibu machafu.. nimeona kingine umemjibu jamaa akasome TECU na vyuo vingine kama hivyo
hii kozi ple Sua hawezi kupta mna ufaulu wake ni mdgo iyo kozi sana wanaenda walopta one nzuri na div 2 za mwanzo tuFood and nutrition pale Sua
kuna kozi Udom kuhusu biology lbda aombe hiyo lkn kwanza angalia vigezo.vyakeWakuu habari za wakati huu.
Nina mdogo wangu amesoma mchepuo wa CBG na amepata D tatu. Naomba msaada ni Kozi Gani nzuri anaweza akasomea?
Watanzania acheni huu ujinga bana,yeye aombe kupata ama kukosa wewe yanakuhusu nn?umekaa apo unawaza tu atakosa unafikiri div two ni kazi rahisi kuipata auhii kozi ple Sua hawezi kupta mna ufaulu wake ni mdgo iyo kozi sana wanaenda walopta one nzuri na div 2 za mwanzo tu
Aombe na lab science kcmU, na vyuo vingine yeye aombe suala la kupata ama kukosa hilo sio kazi yake,humu ndani kuna watu wanafikiri kila mtu atakaechaguliwa Ana A na B tu ukiwasikiliza hao utafeliWakuu habari za wakati huu.
Nina mdogo wangu amesoma mchepuo wa CBG na amepata D tatu. Naomba msaada ni Kozi Gani nzuri anaweza akasomea?
Afisa lishe wanaajiriwa katika mahospitali zaidi,deals kibao unakuta katika hospitali akaua yeye mwenyeweAnaweza kuwa nani akihitimu? Samahani
Ingia www.tcu.go.tz download Undergraduate Admission Guidebook inaordha ya vyuo na kozi zake na sifa za kujiunga kwa kila kozi.Wakuu habari za wakati huu.
Nina mdogo wangu amesoma mchepuo wa CBG na amepata D tatu. Naomba msaada ni Kozi Gani nzuri anaweza akasomea?
Umeuliza swali umejibiwa then unaleta mitusi, next time usilete zako humu tutakutoa nishai, na kwa hizo D ni ualimu tuu hakuna udaktari hapoππππ Wewe una majibu machafu.. nimeona kingine umemjibu jamaa akasome TECU na vyuo vingine kama hivyo
Halafu mimi nimekwambia kistaarabu tu na ndio ukweli wenyewe sasa unapayuka na kuniita mjinga laiti ungekua unajua unaongea na nani wala usingesema hivo ila kwa kua akili yako umeifunga hapo hamna tatizoWatanzania acheni huu ujinga bana,yeye aombe kupata ama kukosa wewe yanakuhusu nn?umekaa apo unawaza tu atakosa unafikiri div two ni kazi rahisi kuipata au
Acha nyege mkuu, niliyemjibu hivyo hajareact kwakuwa ana akili, kaona emoji kajua ni joke tu. Sasa wewe unakuja race na nyege zako sijui unataka kukunwa upele?Umeuliza swali umejibiwa then unaleta mitusi, next time usilete BS zako humu tutakutoa nishai, na kwa hizo D ni ualimu tuu hakuna udaktari hapo
Asante mkuu. Kuna Kozi nyingine unazoweza kussugest kutokana na ufaulu tajwa hapo huu? Msaadahii kozi ple Sua hawezi kupta mna ufaulu wake ni mdgo iyo kozi sana wanaenda walopta one nzuri na div 2 za mwanzo tu
Jaribu kozi ya bioogy ple UdomAsante mkuu. Kuna Kozi nyingine unazoweza kussugest kutokana na ufaulu tajwa hapo huu? Msaada
Food and nutrition pale Sua
Akihitimu tutakuwa nae vijiweni pamoja huku tukiiponda serikali ya Jamhuri kushindwa kutupatia ajira vijana wa taifa hiliAnaweza kuwa nani akihitimu? Samahani
Kuna issue inaitwa population competition, mfano: Kwenye udokta, wenye CCC za PCB wana qualify kwendra, cha ajabu unakuta kuna mipenda sifa ina AAA halafu unakuta ni mingi kuliko nafasi za vyuoni, haya mapenda sifa yalinikosesha udokta, wenda na mimi ningekuwa navaa koti jeupe na 3 yangu ya 14Ingia www.tcu.go.tz download Undergraduate Admission Guidebook inaordha ya vyuo na kozi zake na sifa za kujiunga kwa kila kozi.