karv JF-Expert Member Joined Dec 26, 2019 Posts 1,802 Reaction score 3,253 Jul 19, 2022 #41 SUKAH said: Sawa, hili sikuwa mwenye kulijua sana. Ila kwa waliopita huko huenda wameliona hilo. Click to expand... Kozi hiyo ada ya kawaida ila matumizi ya kozi kwa wiki inaenda kwenye elfu 30 kuna muda huwa yanaenda mbali hadi kufikia laki 2 hapo vifaa hajanunua kama kwao anapikia mkaa bora asiende Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
SUKAH said: Sawa, hili sikuwa mwenye kulijua sana. Ila kwa waliopita huko huenda wameliona hilo. Click to expand... Kozi hiyo ada ya kawaida ila matumizi ya kozi kwa wiki inaenda kwenye elfu 30 kuna muda huwa yanaenda mbali hadi kufikia laki 2 hapo vifaa hajanunua kama kwao anapikia mkaa bora asiende Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
S straiton kelvin New Member Joined Jul 23, 2022 Posts 1 Reaction score 0 Aug 16, 2022 #42 Akhi said: Mmmhhh Agriculture general na horticulture hawezi pata ple Sua Click to expand... Umekazana hapati hapati mwaka jana watu na 3 walipata mbn acha kukatisha watu tamaa
Akhi said: Mmmhhh Agriculture general na horticulture hawezi pata ple Sua Click to expand... Umekazana hapati hapati mwaka jana watu na 3 walipata mbn acha kukatisha watu tamaa