Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Supposedly hoja zako ni kweli, kati ya vyama hivi vilivyopo, ni chama kipi cha kuiliza CCM na kuiletea hicho kilio kikubwa sana?.Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha
maana CCM kikiingia hivi kwenye uchaguzi kitalia kilio kikubwa Sana
Hata kama Hakuna chama Cha kufanya hivyo, CCM ijitafakari,ifanye Reformation 🙏Supposedly hoja zako ni kweli, kati ya vyama hivi vilivyopo, ni chama kipi cha kuiliza CCM na kuiletea hicho kilio kikubwa sana?.
P
Amesema CCM watafute mgombea mwingine angalau atakayejali maisha ya Watanzania. Wapo wenye unafuu Polepole, Bashiru Ali, Mpina, Lukuvi, Mtaka nk.Supposedly hoja zako ni kweli, kati ya vyama hivi vilivyopo, ni chama kipi cha kuiliza CCM na kuiletea hicho kilio kikubwa sana?.
P
Ushauri wako siyo mzuri. Ni ngumu sana kupata rais kama Dkt Magufuli, ndiyo Dkt Samia ni mzembe sana tena hafai kabisa kuendelea kukalia kiti cha urais kwa sababu kila eneo la kiutawala kashindwa mno mno, ila ukiangalia hakuna mbadala ndani ya CCM wa nje ya CCM. Yaani bora mara 💯 tuendelee na Dkt Samia ambaye tumeshajua siyo nyampara bali ni kiongozi anayetaka kila mtu ajisimamie, ila bahati mbaya sana watanzania karibia wote waliopo serikalini na wafanyabiashara wana vinasaba vya ufisadi, wizi, upigaji kiasi kwamba kwa kiongozi kama Dkt Samia wanafurahia mno. Kwa nini nasema hatutaki zaidi ya Dkt Samia, huyo unayemfikiria akija atataka kuwa kama Dkt Magufuli (atashindwa kuwa kwa sababu Dkt Magufuli alikuwa na kipaji hicho cha kuzaliwa) na atataka kuwa kama Dkt Samia (hawezi kwa sababu Dkt Samia kwa asili yake kama Mwanamke na kuwa ni Mzanzibar ndivyo alivyo lelewa), huo mchanganyiko utaiumiza nchi. Tuendelee na Dkt SamiaMwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha
Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa changamoto wanazopitia wananchi
wamekuwa wakiwaza tu kuchapisha fomu moja wamesahau hata kutekeleza majukumu yao sawasawa
ukweli ni kwamba Samia hatoshi tena kugombea urais 2025 tena kikawaida angejiuzuru mapema kuruhusu mtu mwingine aje kufanya reform kabla ya 2025 maana CCM kikiingia hivi kwenye uchaguzi kitalia kilio kikubwa Sana
Sukuma gang kazi mnayo safari hiiMwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha
Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa changamoto wanazopitia wananchi
wamekuwa wakiwaza tu kuchapisha fomu moja wamesahau hata kutekeleza majukumu yao sawasawa
ukweli ni kwamba Samia hatoshi tena kugombea urais 2025 tena kikawaida angejiuzuru mapema kuruhusu mtu mwingine aje kufanya reform kabla ya 2025 maana CCM kikiingia hivi kwenye uchaguzi kitalia kilio kikubwa Sana
Ccm ni majizi wa kuraWao wamewekeza kwenye kuiba kura, polisi wapo watawasaidia na hakuna cha kuwafanya
Wamepasuka lkn tume ipo imara hivyo ondoa shakaCCM Imepasuka Sana Kama Huamini Subiri Uone Muda Utaongea
KwiiishaaaaaaCcm hawana lengo la kuijenga nchi kwa hiyo hawana wazo la kumuondoa Samia. Cha ajabu atawekwa yeye na atashinda ushindi wa kishindo.
Kati watanzania 60million huoni kama kunaweza kupatikana watu wenye machungu na nchi yetu wakaiendesha nchi nje ya ccm?Supposedly hoja zako ni kweli, kati ya vyama hivi vilivyopo, ni chama kipi cha kuiliza CCM na kuiletea hicho kilio kikubwa sana?.
P
Supposedly hoja zako ni kweli, kati ya vyama hivi vilivyopo, ni chama kipi cha kuiliza CCM na kuiletea hicho kilio kikubwa sana?.
P