Pre GE2025 CCM achaneni na Samia 2025, leteni mtu mwingine kabla ya uchaguzi afanye reform kwa hali iliyopo, chama kiingie kwenye uchaguzi kikiwa kimeaminika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha

Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa changamoto wanazopitia wananchi

wamekuwa wakiwaza tu kuchapisha fomu moja wamesahau hata kutekeleza majukumu yao sawasawa

ukweli ni kwamba Samia hatoshi tena kugombea urais 2025 tena kikawaida angejiuzuru mapema kuruhusu mtu mwingine aje kufanya reform kabla ya 2025 maana CCM kikiingia hivi kwenye uchaguzi kitalia kilio kikubwa Sana
Kiukweli hata mimi mwana ccm ila mama samia kwa kweli hapana....nampenda ila kiukweli nafasi ya urais aachie mtu mwingine...kumvumilia miaka kumi ni shida mno

Maana yeye hayupo miyoni mwa watanzania hiyo ndo shida ana urais wa kurithi sio wa kupigiwa kura wala hakuna hata kwenye akili za watanzania

Mama samia nampenda kama mtanzania tu ila uraisi hafai huo ndo ukweli
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha

Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa changamoto wanazopitia wananchi

wamekuwa wakiwaza tu kuchapisha fomu moja wamesahau hata kutekeleza majukumu yao sawasawa

ukweli ni kwamba Samia hatoshi tena kugombea urais 2025 tena kikawaida angejiuzuru mapema kuruhusu mtu mwingine aje kufanya reform kabla ya 2025 maana CCM kikiingia hivi kwenye uchaguzi kitalia kilio kikubwa Sana
Twende na nchemba basi
 
Supposedly hoja zako ni kweli, kati ya vyama hivi vilivyopo, ni chama kipi cha kuiliza CCM na kuiletea hicho kilio kikubwa sana?.
P
Kwan kuna mtu angetegemea wewe kuandika tofauti na ulivyoandika? Ikiwa hata chama chako cha majiz ya kura kilikupuuza ukakomea kura moja kuna akili hapo au matope.
 
Tujifunze kujibu maswali unayoulizwa!, suppose ni kweli mimi akili zangu ni matope, baada ya hapo sasa jibu swali nililouliza!,
Supposedly hoja zako ni kweli, kati ya vyama hivi vilivyopo, ni chama kipi cha kuiliza CCM na kuiletea hicho kilio kikubwa sana?.
P
p
 
Ishu sio chama bali mtu ndicho alichomaanisha ,
Usilete mada nyingine juu ya nyingine kuwatoa watu kwenye mstari.
Kwa mujibu wa katiba yetu na sheria yetu ya uchaguzi, tunachagua vyama, sio watu, ili kugombea nafasi yoyote, lazima udhaminiwe na chama cha siasa, hivyo kwa sasa CCM ndio chawa tawala, katika vyama vilivyopo, ili tuipumzishe CCM, lazima kuwepo na mbadala, sasa hapa mbadala wa CCM ni nani?.

Kabla ya kuanza kufikiria nje ya CCM tuanzie ndani ya CCM nani ataweza kufaa kutosholeza matarajio ya wengi?

Naamini hata ndani ya CCM inawezekana kupatikana ambae walau anaweza kukidhi matarajio ya wengi.

Off course nje wapo kama kina Jemedari Tundu Lissu hakika anaweza.

Nashauri tuangalie mtu na uwezo alonao na sio chama kwanza.
 
Supposedly hoja zako ni kweli, kati ya vyama hivi vilivyopo, ni chama kipi cha kuiliza CCM na kuiletea hicho kilio kikubwa sana?.
P
Vita itakayokuwepo ni CCM vs CCM.

Mbona hujifunzi yaliyojiri KANU?

Ushauri wa mtoa mada uzingatiwe.

Mwl Nyerere: Bila CCM Imara, Nchi itayumba.
 
Kwa mujibu wa katiba yetu na sheria yetu ya uchaguzi, tunachagua vyama, sio watu, ili kugombea nafasi yoyote, lazima udhaminiwe na chama cha siasa, hivyo kwa sasa CCM ndio chawa tawala, katika vyama vilivyopo, ili tuipumzishe CCM, lazima kuwepo na mbadala, sasa hapa mbadala wa CCM ni nani?.
P

CCM ilitakiwa kukubali vyama vipya, makini kusajiliwa, wagombea binafsi, tume huru, vinakavyoipa ushindani wa ukweli na kuwa mbadala wa kweli wa CCM.

Hivi vyama vya upinzani vya sasa havina tofauti yoyote na CCM. Vyote agenda yao ni moja vinapambania ulaji, asali, matumbo yao.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha

Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa changamoto wanazopitia wananchi

wamekuwa wakiwaza tu kuchapisha fomu moja wamesahau hata kutekeleza majukumu yao sawasawa

ukweli ni kwamba Samia hatoshi tena kugombea urais 2025 tena kikawaida angejiuzuru mapema kuruhusu mtu mwingine aje kufanya reform kabla ya 2025 maana CCM kikiingia hivi kwenye uchaguzi kitalia kilio kikubwa Sana
Ukawa mmemuogopa Samia mapema sana
 
Supposedly hoja zako ni kweli, kati ya vyama hivi vilivyopo, ni chama kipi cha kuiliza CCM na kuiletea hicho kilio kikubwa sana?.
P
Hapo ndio kwenye tatizo ndugu, wengi tunatamani mabadiliko lakini wa kumkabidhi dhamana ndio hatumuelewi elewi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
ndugu ukwa na mawazo hayo kwa tanzania ya leo inayoenda vizuri kisiasa kiuchumi na kidemocrasia hata aliyekutuma atakushangaa yaani inaonyesha nikiasi gani hujielewi mpaka unaandika upuuzi kama huu yaani huoni hata nchi ilivyotulia uchumi unapanda mahitaji mengi yanapatikana kirahisi mwambie aliyekutuma HATUDANGANYIKI
Nchi haijatulia,sema uoga wa kuhoji umeongeza sana
Kwa jicho la kiroho,kuna kizazi hiki Cha 2000 hiki kitakuja kuleta mageuzi barabarani,Hawa ambao wanasoma tu lakini hawana uhakika wa ajira,Hawa wanaopelekwa JKT baadae wanaachwa mitaani bila ajira
Kwa kifupi 2025 hata akishinda lakini Nina Imani 85% ya wabunge hawarudi kichofuata ni serikali ya mseto.Boss kapwaya
 
Screenshot_2024-01-03-16-16-27-1.png
 
Back
Top Bottom