Mbishi Uswazi
Senior Member
- Feb 7, 2020
- 170
- 315
Polisi wakae pembeni tume itende haki, ni asubui ccm wanatundika turubai kwa msiba mzitoSupposedly hoja zako ni kweli, kati ya vyama hivi vilivyopo, ni chama kipi cha kuiliza CCM na kuiletea hicho kilio kikubwa sana?.
P
Kiukweli hata mimi mwana ccm ila mama samia kwa kweli hapana....nampenda ila kiukweli nafasi ya urais aachie mtu mwingine...kumvumilia miaka kumi ni shida mnoMwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha
Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa changamoto wanazopitia wananchi
wamekuwa wakiwaza tu kuchapisha fomu moja wamesahau hata kutekeleza majukumu yao sawasawa
ukweli ni kwamba Samia hatoshi tena kugombea urais 2025 tena kikawaida angejiuzuru mapema kuruhusu mtu mwingine aje kufanya reform kabla ya 2025 maana CCM kikiingia hivi kwenye uchaguzi kitalia kilio kikubwa Sana
Twende na nchemba basiMwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha
Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa changamoto wanazopitia wananchi
wamekuwa wakiwaza tu kuchapisha fomu moja wamesahau hata kutekeleza majukumu yao sawasawa
ukweli ni kwamba Samia hatoshi tena kugombea urais 2025 tena kikawaida angejiuzuru mapema kuruhusu mtu mwingine aje kufanya reform kabla ya 2025 maana CCM kikiingia hivi kwenye uchaguzi kitalia kilio kikubwa Sana
Bora Profesa Muongo kuliko huyo Bw. Madelu maana safari hii atatuambia tuhamie Jangwa la Sahara badala Burundi tena.☹☹☹Twende na nchemba basi
Kwan kuna mtu angetegemea wewe kuandika tofauti na ulivyoandika? Ikiwa hata chama chako cha majiz ya kura kilikupuuza ukakomea kura moja kuna akili hapo au matope.Supposedly hoja zako ni kweli, kati ya vyama hivi vilivyopo, ni chama kipi cha kuiliza CCM na kuiletea hicho kilio kikubwa sana?.
P
Tujifunze kujibu maswali unayoulizwa!, suppose ni kweli mimi akili zangu ni matope, baada ya hapo sasa jibu swali nililouliza!,Kwan kuna mtu angetegemea wewe kuandika tofauti na ulivyoandika? Ikiwa hata chama chako cha majiz ya kura kilikupuuza ukakomea kura moja kuna akili hapo au matope.
pSupposedly hoja zako ni kweli, kati ya vyama hivi vilivyopo, ni chama kipi cha kuiliza CCM na kuiletea hicho kilio kikubwa sana?.
P
Kwa mujibu wa katiba yetu na sheria yetu ya uchaguzi, tunachagua vyama, sio watu, ili kugombea nafasi yoyote, lazima udhaminiwe na chama cha siasa, hivyo kwa sasa CCM ndio chawa tawala, katika vyama vilivyopo, ili tuipumzishe CCM, lazima kuwepo na mbadala, sasa hapa mbadala wa CCM ni nani?.Ishu sio chama bali mtu ndicho alichomaanisha ,
Usilete mada nyingine juu ya nyingine kuwatoa watu kwenye mstari.
Si Kwa Bahati mbaya.Mods hawajauona huu uzi
Kwa mujibu wa katiba yetu na sheria yetu ya uchaguzi, tunachagua vyama, sio watu, ili kugombea nafasi yoyote, lazima udhaminiwe na chama cha siasa, hivyo kwa sasa CCM ndio chawa tawala, katika vyama vilivyopo, ili tuipumzishe CCM, lazima kuwepo na mbadala, sasa hapa mbadala wa CCM ni nani?.
P
Vita itakayokuwepo ni CCM vs CCM.Supposedly hoja zako ni kweli, kati ya vyama hivi vilivyopo, ni chama kipi cha kuiliza CCM na kuiletea hicho kilio kikubwa sana?.
P
Kwa mujibu wa katiba yetu na sheria yetu ya uchaguzi, tunachagua vyama, sio watu, ili kugombea nafasi yoyote, lazima udhaminiwe na chama cha siasa, hivyo kwa sasa CCM ndio chawa tawala, katika vyama vilivyopo, ili tuipumzishe CCM, lazima kuwepo na mbadala, sasa hapa mbadala wa CCM ni nani?.
P
Ukawa mmemuogopa Samia mapema sanaMwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha
Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa changamoto wanazopitia wananchi
wamekuwa wakiwaza tu kuchapisha fomu moja wamesahau hata kutekeleza majukumu yao sawasawa
ukweli ni kwamba Samia hatoshi tena kugombea urais 2025 tena kikawaida angejiuzuru mapema kuruhusu mtu mwingine aje kufanya reform kabla ya 2025 maana CCM kikiingia hivi kwenye uchaguzi kitalia kilio kikubwa Sana
Hapo ndio kwenye tatizo ndugu, wengi tunatamani mabadiliko lakini wa kumkabidhi dhamana ndio hatumuelewi elewi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Supposedly hoja zako ni kweli, kati ya vyama hivi vilivyopo, ni chama kipi cha kuiliza CCM na kuiletea hicho kilio kikubwa sana?.
P
Nchi haijatulia,sema uoga wa kuhoji umeongeza sanandugu ukwa na mawazo hayo kwa tanzania ya leo inayoenda vizuri kisiasa kiuchumi na kidemocrasia hata aliyekutuma atakushangaa yaani inaonyesha nikiasi gani hujielewi mpaka unaandika upuuzi kama huu yaani huoni hata nchi ilivyotulia uchumi unapanda mahitaji mengi yanapatikana kirahisi mwambie aliyekutuma HATUDANGANYIKI