MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Magufuli na ccm walikuwa waongo sana. Sisi tuliwambia hali ya uchumi ni mbaya wakakaza shingo. Ona sasa.Miaka mitano mfululizo tuliona misifa na mipambio ya kumsifu mtukufu kuwa anafanya vizuiri. Ghafla eti kila kitu kimesinyaa na mnavunja rekodi kwa kuleta hadi mgao wa maji!!...
Tena akasema vyuma vikaze hadi vitukate. CCM walikua wanashangilia utafikiri wana kakisiwa kao wanaishiMagufuli na ccm walikuwa waongo sana. Sisi tuliwambia hali ya uchumi ni mbaya wakakaza shingo. Ona sasa.
Na this time hakuna Wapinzani. Yaani kuanzia serikali za mitaa hadi raisi ni wa kwao, konyoTunasubiri mtuambie mgao wa pembejeo, mgao wa gesi ya kupikia, mgao wa dawa hospitali n.k unaanza lini
Wako kimyaaaaaaaa utadhani kuku aliyenyeshewa, tukisema pro CCM ni empty headed wanatuua kwa kutumia PolisiTena akasema vyuma vikaze hadi vitukate. CCM walikua wanashangilia utafikiri wana kakisiwa kao wanaishi
Sasa watuambie nani anawachelewesha sh****ziNa this time hakuna Wapinzani. Yaani kuanzia serikali za mitaa hadi raisi ni wa kwao, konyo
Bado kidogo muda utafika, mafuta yamebaki sijui ya Siku ngapi!!Sasa watuambie nani anawachelewesha sh****zi
Policy implementation is very disappointed in this gvtMiaka mitano mfululizo tuliona misifa na mipambio ya kumsifu mtukufu kuwa anafanya vizuiri. Ghafla eti kila kitu kimesinyaa na mnavunja rekodi kwa kuleta hadi mgao wa maji!...
Umri wa kustaafuKwakuwa imetimia miaka 60 sasa serikali ya ccm istaafu imeshindwa kutuletea maendeleo tunayostahili
Waliamua kuua uchumi kwakutokulipa madeni ya ndani,taasisi za serikali kufanya biashara(government machinery),kutumia Sera ambazo hazina tija ,ili wafanye siasa (uncertainty policies),kuongoza kwakujitoa ufahamu(herding behaviour), watu wanaojulikana wakiendelea kutojulikana , 'tukaambiwa eti hawajulikani',('giving a shield to unknown criminals) ,yako mengi ngoja niyaseme haya tuMagufuli na ccm walikuwa waongo sana. Sisi tuliwambia hali ya uchumi ni mbaya wakakaza shingo. Ona sasa.
Kushadadia udini ni ujinga.. Jitambue.Ukweli wa kihistoria ni kwamba Muislamu akishakuwa Rais wa JMT kila kitu kinakuwa hovyo in no time.
Bro kwanini. Umesema hivyoUkweli wa kihistoria ni kwamba Muislamu akishakuwa Rais wa JMT kila kitu kinakuwa hovyo in no time.
Mwinyi, Kikwete, na sasa huyu Mama. Mfano, tofauti ni kubwa sana ukimlinganisha huyu mama na JPM, kama Ilivyokuwa kati ya Mkapa na JK.Bro kwanini. Umesema hivyo