Wameumbuka.Waliamua kuua uchumi kwakutokulipa madeni ya ndani,taasisi za serikali kufanya biashara(government machinery),kutumia Sera ambazo hazina tija(uncertainty policies),kuongoza kwakujitoa ufahamu(herding behaviour), watu wanaojulikana wakiendelea kutojulikana (giving a shield to unknown criminals) ,yako mengi ngoja niyaseme haya tu
Walipanga kinyemela kuwakomesha wananchi bila kuwaambia wafunge mikandaTena akasema vyuma vikaze hadi vitukate. CCM walikua wanashangilia utafikiri wana kakisiwa kao wanaishi
Kuendesha nchi siyo kama familiaHapo ndipo mnapoonesha upumbavu wenu, mnamlalamikia magufuli kanakwamba yeye alikuwa muongo,fine ndio alikuwa muongo lakini umeme mliupata au hamkuupata?? Hawa wanaowaambia kuwa mabwawa yamepungua maji mara oho kuna uchakavu wa mitambo inamaana maji yanapungua ghafla kama chafya!?? Haya hao wanao waambia ukweli mpaka sasa kunafaida gani kwa taifa zaid ya kutiana vidole vya macho kila siku.
Wajiita vichaaa mara waliotoka jalalaniWaliamua kuua uchumi kwakutokulipa madeni ya ndani,taasisi za serikali kufanya biashara(government machinery),kutumia Sera ambazo hazina tija(uncertainty policies),kuongoza kwakujitoa ufahamu(herding behaviour), watu wanaojulikana wakiendelea kutojulikana (giving a shield to unknown criminals) ,yako mengi ngoja niyaseme haya tu
Hawachelewi kisema soonMiaka mitano mfululizo tuliona misifa na mipambio ya kumsifu mtukufu kuwa anafanya vizuiri. Ghafla eti kila kitu kimesinyaa na mnavunja rekodi kwa kuleta hadi mgao wa maji!!!!!
Ukweli ni kwamba haya yote mliyasababisha miaka mitano iliyopita kwa kuacha kuusema ukweli mkahamia kusifu na kuabudu binadamu. Sasa uchumi wa nchi umekufa mnasinguzia upungufu wa maji ilihali misimu miwili mfululizo mvua zilinyesha hadi kuzua hofu ya kubomoa mabwawa.
Tuseme tu ukweli nchi imewashinda vibaya mno na imefikia hatua mnataoatapa na kutengeneza matatizo ya kusingizia. Juzi juzi tu mliwaambia Tanesco waunge watu umeme kwa 27k mkidai umeme upo wa kutosha sasa uko wapi? Nchi imejaa waongo waongo wasio na haya hadi mtoto mdogo anawaona mlivyo waongo.
Tunasubiri mtuambie mgao wa pembejeo, mgao wa gesi ya kupikia, mgao wa dawa hospitali n.k unaanza lini.
Inatajwa CCM wewe unakimbilia kumtetea binadamu? CCM ni chama sio mtu mmoja jitambue.Hapo ndipo mnapoonesha upumbavu wenu, mnamlalamikia magufuli kanakwamba yeye alikuwa muongo,fine ndio alikuwa muongo lakini umeme mliupata au hamkuupata?? Hawa wanaowaambia kuwa mabwawa yamepungua maji mara oho kuna uchakavu wa mitambo inamaana maji yanapungua ghafla kama chafya!?? Haya hao wanao waambia ukweli mpaka sasa kunafaida gani kwa taifa zaid ya kutiana vidole vya macho kila siku.
acha ujinga unadhani haya ndio yatabadilisha kinachofanywa na ndugu zako saivi. ndugu zako wanatengeneza shida unakuja na vipoint vya kutengeneza kujifanya wewe sio CCM.Miaka mitano mfululizo tuliona misifa na mipambio ya kumsifu mtukufu kuwa anafanya vizuiri. Ghafla eti kila kitu kimesinyaa na mnavunja rekodi kwa kuleta hadi mgao wa maji!!!!!
Ukweli ni kwamba haya yote mliyasababisha miaka mitano iliyopita kwa kuacha kuusema ukweli mkahamia kusifu na kuabudu binadamu. Sasa uchumi wa nchi umekufa mnasinguzia upungufu wa maji ilihali misimu miwili mfululizo mvua zilinyesha hadi kuzua hofu ya kubomoa mabwawa.
Tuseme tu ukweli nchi imewashinda vibaya mno na imefikia hatua mnataoatapa na kutengeneza matatizo ya kusingizia. Juzi juzi tu mliwaambia Tanesco waunge watu umeme kwa 27k mkidai umeme upo wa kutosha sasa uko wapi? Nchi imejaa waongo waongo wasio na haya hadi mtoto mdogo anawaona mlivyo waongo.
Tunasubiri mtuambie mgao wa pembejeo, mgao wa gesi ya kupikia, mgao wa dawa hospitali n.k unaanza lini.
Lakini kwa huyu wa sasa mtampa lawama za bure tu, yaani matatizo ya toka uhuru, leo hii mtu aje ayamalize ndani ya miezi 7?!!na tulishasema kuwa rais atakaye kuja baada ya jiwe atakuwa na kazi kunwa sana, kwani kila sehemu ni vulugu tupu ila alikuwa akiwaaminisha watu kuwa kila kitu kipo sawa!!! Dhahama ya kuanzisha miradi mingi kwa pamoja kwa kutegemea pesa za kukopa, unafikiria ni ndogo!!!huo mradi wa umeme wa rufiji wala sio wa kuwa tayari mwaka kesho, ni siasa tu!!!!miaka 60 toka uhuru bado umeme, na maji ni tabu?!!halafu jitu linasifia ndege!!!Ukweli wa kihistoria ni kwamba Muislamu akishakuwa Rais wa JMT kila kitu kinakuwa hovyo in no time.
Ukiona viongozi wanapenda sana kuitwa waheshimiwa na kutukuzwa ujue nia ni kupata sio kutoa.Waliamua kuua uchumi kwakutokulipa madeni ya ndani,taasisi za serikali kufanya biashara(government machinery),kutumia Sera ambazo hazina tija(uncertainty policies),kuongoza kwakujitoa ufahamu(herding behaviour), watu wanaojulikana wakiendelea kutojulikana (giving a shield to unknown criminals) ,yako mengi ngoja niyaseme haya tu
Aisee kuna wakati umeme ukikatika mtaa wetu ukirudi hizo shangweeeee hee utadhani goli limefungwa kwenye mechi ya simba na yangaHapo ndipo mnapoonesha upumbavu wenu, mnamlalamikia magufuli kanakwamba yeye alikuwa muongo,fine ndio alikuwa muongo lakini umeme mliupata au hamkuupata?? Hawa wanaowaambia kuwa mabwawa yamepungua maji mara oho kuna uchakavu wa mitambo inamaana maji yanapungua ghafla kama chafya!?? Haya hao wanao waambia ukweli mpaka sasa kunafaida gani kwa taifa zaid ya kutiana vidole vya macho kila siku.
Wazalendo ,tukaambiwa tumetumwa na mabeberuWajiita vichaaa mara waliotoka jalalani
Hahaa,niliwahi kusimuliwa na mtoto toka familia ya CCM kumbe ada na mazagaza mbalimbali wanapewa wakifauru vizuri wanapelekwa nje kusoma,swali fikirishi je, hiyo familia inaweze kukuelewa kwamba wanatumia Sera ambazo hazina tija?
Rubbish,mara nyingi waharibifu huwa ni wagalatia afu Waislam wanakuja kubebeshwa jumba bovu..Huo ndiyo ukweli mchungu. Subiri huyu mama akimaliza muda wake halafu uangaliye tupo wapi, ndiyo utanielewa.
Mimi sipingi, JPM alikuwa 'abari' nyingine, maana kwanza alikuwa anaongoza nchi peke yake tu hakuna cha washauri, cabinet wala bunge, nakiri huo ni uwezo mkubwa sana.Kwani hao IFM,na WB hawana wawakilishi hapa nchi,hawakagui tarifa wanazopelekewa?ingelikuwa hivo mataifa yote ya afrika yangelikuwa uchumi wa kati ikiwemo Burundi,wadanganyeni wajinga wenzenu,Jpm alikuwa abari nyingine.
Pesa walilipana wakati wa uchaguzi sasa wanataka tulie pamojaMiaka mitano mfululizo tuliona misifa na mipambio ya kumsifu mtukufu kuwa anafanya vizuiri. Ghafla eti kila kitu kimesinyaa na mnavunja rekodi kwa kuleta hadi mgao wa maji.
Ukweli ni kwamba haya yote mliyasababisha miaka mitano iliyopita kwa kuacha kuusema ukweli mkahamia kusifu na kuabudu binadamu. Sasa uchumi wa nchi umekufa mnasinguzia upungufu wa maji ilihali misimu miwili mfululizo mvua zilinyesha hadi kuzua hofu ya kubomoa mabwawa.
Tuseme tu ukweli nchi imewashinda vibaya mno na imefikia hatua mnataoatapa na kutengeneza matatizo ya kusingizia. Juzi juzi tu mliwaambia Tanesco waunge watu umeme kwa 27k mkidai umeme upo wa kutosha sasa uko wapi? Nchi imejaa waongo waongo wasio na haya hadi mtoto mdogo anawaona mlivyo waongo.
Tunasubiri mtuambie mgao wa pembejeo, mgao wa gesi ya kupikia, mgao wa dawa hospitali n.k unaanza lini.
Aliwekeza kwenye propaganda,vitisho na pambio huku akijifanya yeye anajua kila kitu..Mimi sipingi, JPM alikuwa 'abari' nyingine, maana kwanza alikuwa anaongoza nchi peke yake tu hakuna cha washauri, cabinet wala bunge, nakiri huo ni uwezo mkubwa sana.
Ila tukiachana na hayo, kuna vitu unatakiwa uelewe, kwanza, nchi ya ulimwengu wa tatu kuingia uchumi wa kati ni faida zaidi kwa IMF na benki ya dunia kuliko nchi husika. Kwa misingi hiyo wanaweza kuona kabisa kuwa unatoa data za uwongo na wakakurank tu, wewe hata kama ni mdogo kiasi gani, unaamini tunaweza kujenga SGR kwa pesa za ndani Dar to Mwanza?, kutoka hapo tu hadi Moro tulishindwa kuajiri wala kutoa increament, unalijua hilo?
Pili, ni kweli wana watu wao lakini wanaweza wasipate access ya kila sehemu..
Tatu, unatakiwa kufahamu kuwa kuna kitu kinaitwa Propaganda, na sio kila kitu kinachotangazwa ni cha kweli. Nadhani utakuwa umepata mwanga kidogo!
Aha kumbe wewe ni mvaa madera! Udini ndo tatizo kila siku upo hapa kumtetea mwabudu majini mwenzio mdo maana kila siku JPM unamsakama! Stupid,Rubbish,mara nyingi waharibifu huwa ni wagalatia afu Waislam wanakuja kubebeshwa jumba bovu..
Mama ataondoka uchumi mzuri kama JK alivyoondoka baada ya hapo litakuja kitu la roho mbaya ligalatia.