Pre GE2025 CCM acheni kujiaibisha, yaani kabisa mmeamua kumshambulia Chief Odemba wakati Watanzania wanajua uozo wenu!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu salam,

CCM katika mbinu zote za kujisafisha na fedheha ya kukimbia mdahalo pamoja, maovu yenu kufichuka moja baada ya jingine kutoka kwa viongozi ambao ni wanachama wenu na kuhusishwa na ukatili wa polisi unaendelea nchini mkaona kabisa mbinu ya kumchafua Odemba ndio itawasafisha na kuwatoa kwenye reli?

Ndio uwezo wenu wa kufikiri ulipoishia hapo?

Mmeshikwa pabaya mpaka pakupumulia mnakosa mnaona bora mfanye hivi vi cheap tricks visivyo na kichwa wala miguu!

Pia soma: Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

Watanzania wa leo si wa jana, Watanzania wameamka na watawawajibisha kwa ufedhuli wenu.

Nchimbi unaaibisha wasomi, hata darasa la saba anaweza fanya better!

Mnafikiri mnamuaibisha Odemba, kumbe ndio kwanza mnazidi kujiweka uchi!

Odemba tuletee mdahalo mwingine baba waendelee kutapa tapa, tena weka mada inayowapiga kwenye mshono!

Na tukisikia Odemba kapata tatizo lolote wa kumshika shati tutakua naye.
 
Wakuu salam,

CCM katika mbinu zote za kujisafisha na fedheha ya kukimbia mdahalo pamoja, maovu yenu kufichuka moja baada ya jingine kutoka kwa viongozi ambao ni wanachama wenu na kuhusishwa na ukatili wa polisi unaendelea nchini mkaona kabisa mbinu ya kumchafua Odemba ndio itawasafisha na kuwatoa kwenye reli?

Ndio uwezo wenu wa kufikiri ulipoishia hapo?

Mmeshikwa pabaya mpaka pakupumulia mnakosa mnaona bora mfanye hivi vi cheap tricks visivyo na kichwa wala miguu!

Watanzania wa leo si wa jana, Watanzania wameamka na watawawajibisha kwa ufedhuli wenu.

Nchimbi unaaibisha wasomi, hata darasa la saba anaweza fanya better!

Mnafikiri mnamuaibisha Odemba, kumbe ndio kwanza mnazidi kujiweka uchi!

Odemba tuletee mdahalo mwingine baba waendelee kutapa tapa, tena weka mada inayowapiga kwenye mshono!

Na tukisikia Odemba kapata tatizo lolote wa kumshika shati tutakua naye.
CCM mmekataliwa na wote, wooooooooooooooooooooooooooote, ni hiyo tu watu wanaogopa kuwaambia maana mtawaua. It is a pity kuwa Mwenyekiti wenu anaunga mkono UUAJI WA RAIA WENYE MAWAZO TOFAUTI NA YEYE, MUISLAMU MVAA USHUNGI KUTIMIZA MATAKWA YA DINI, LAKINIANAUA WATU KUTUMIA JESHI LA KUWAWEKA MADARAKANI WATAWALA MAKATILI johnthebaptist ..
 
Wakuu salam,

CCM katika mbinu zote za kujisafisha na fedheha ya kukimbia mdahalo pamoja, maovu yenu kufichuka moja baada ya jingine kutoka kwa viongozi ambao ni wanachama wenu na kuhusishwa na ukatili wa polisi unaendelea nchini mkaona kabisa mbinu ya kumchafua Odemba ndio itawasafisha na kuwatoa kwenye reli?

Ndio uwezo wenu wa kufikiri ulipoishia hapo?

Mmeshikwa pabaya mpaka pakupumulia mnakosa mnaona bora mfanye hivi vi cheap tricks visivyo na kichwa wala miguu!

Watanzania wa leo si wa jana, Watanzania wameamka na watawawajibisha kwa ufedhuli wenu.

Nchimbi unaaibisha wasomi, hata darasa la saba anaweza fanya better!

Mnafikiri mnamuaibisha Odemba, kumbe ndio kwanza mnazidi kujiweka uchi!

Odemba tuletee mdahalo mwingine baba waendelee kutapa tapa, tena weka mada inayowapiga kwenye mshono!

Na tukisikia Odemba kapata tatizo lolote wa kumshika shati tutakua naye.
Kwa kweli, inashangaza sana aina yetu ya kufikiri. X anaalikwa kwenye kongamano, lakini anashindwa kwenda. Wenzake, Y na Z, wanakwenda, ila kwa vile X hakufika, na wao wakaamua kutoshiriki. Kitendo hicho kinamuumiza mwandaaji, kwa kutofanikisha jambo lililopangwa, labda kama angetaarifiwa mapema angeweza kupanga tofauti. Matokeo yake wafuasi wa X wanamtupia lawama mwaandajibadala ya kumlaumu X aliyeshindwa kufika. Logical thinking gani inayo',apply' hapa?
 
Back
Top Bottom