Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu salam,
CCM katika mbinu zote za kujisafisha na fedheha ya kukimbia mdahalo pamoja, maovu yenu kufichuka moja baada ya jingine kutoka kwa viongozi ambao ni wanachama wenu na kuhusishwa na ukatili wa polisi unaendelea nchini mkaona kabisa mbinu ya kumchafua Odemba ndio itawasafisha na kuwatoa kwenye reli?
Ndio uwezo wenu wa kufikiri ulipoishia hapo?
Mmeshikwa pabaya mpaka pakupumulia mnakosa mnaona bora mfanye hivi vi cheap tricks visivyo na kichwa wala miguu!
Pia soma: Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
Watanzania wa leo si wa jana, Watanzania wameamka na watawawajibisha kwa ufedhuli wenu.
Nchimbi unaaibisha wasomi, hata darasa la saba anaweza fanya better!
Mnafikiri mnamuaibisha Odemba, kumbe ndio kwanza mnazidi kujiweka uchi!
Odemba tuletee mdahalo mwingine baba waendelee kutapa tapa, tena weka mada inayowapiga kwenye mshono!
Na tukisikia Odemba kapata tatizo lolote wa kumshika shati tutakua naye.