CCM acheni kulialia, hizi ndizo siasa chafu mlizochagua

Hata sasa tulikuwa tunalipika tu, ili tuone ghadhab na chuki zenu zimefikia Centigrade ngapi! huku kwetu ni mwendo wa kupoa tu.
 
Tutasafirisha au tutananihii hapahapa
 
Hii nchi CCM wamejimilikisha, ukiwa mpinzani hata ukipata kura za kutosha huwezi kutangazwa mshindi. Wapinzani kufungwa, kupotea, kubambikiwa kodi kubwa katika biashara ni sehemu tu ya maisha.
 
Tangu awamu ya tano imeingia madarakani watu walitekwa wakapotetwa kabisa na wengine wakarudishwa toka mafichoni, wengine wakapigwa risasi na kuumizwa vibaya, wengine waliuawa kabisa na mpaka leo tusijue wahusika ni kina nani.

Haya matukio yamelijengea taswira mbaya taifa na ni mengi kuliko wakati wowote tangu nchi hii ipate uhuru.

Aliye nyuma ya mambo haya Mungu atashughulika naye kwa uwezo wake maana yeye ndiye aliyetuleta duniani.

CCM uchaguzi umefika mkalazimisha matokeo hata mahali ambako hamkushinda, kura haramu zinakamatwa mchana kweupe, mnanyanyasa mawakala kutoka vyama viingine utafikiri uchaguzi huu hauwahusu?

Mmekula haramu na dhambi hii itawatesa sana acheni kulialia mkiona kuna watu wanafurahia mabaya yanaposemwa, mmeuasisi ubaya huu na chuki mkidhani kula haramu ni haki yenu Mungu amewasahau.

Kwa jina la Molla aliyeumba ardhi na mbingu kwa madhambi haya CCM Kuna siku mtalipa. Kule ni kuku wa haramu kwa mirija lakini kuna siku mtalipa na mtamtafuta mchawi wenu aliyewaloga.

Nawatakia mapumziko mema ya siku ya mwisho wa wiki. Ameen!
 
Mgonjwa yuko nchi gani leo au hamjapewa taarifa
 
Na baya zaidi ni kupora raia haki ya kuchagua viongozi wanaowataka. Ni wao tu CCM ndiyo watawale milele. Kitendo hiki kimesababisha chuki kati yao na raia wenye itikadi tofauti.
 
Nimeamini maneno yako,unapashwa kuitwa NABII .

Leo hii wameanza kulia na kuwaangukia wale walio wadhihaki kipindi kile.

Leo hii neno lao ni watanzania tuwe wazareendo,uzareeendo huo mnauona leo hii wakati mpo kwenye kibano?

Imeandikwa kuwa dunia ni duara wacha nanyi jua liwawakie.
 
Spika na bunge lilifanya kulingana na taratibu za kibunge! Ni upumbafu uliopindukia kufikiri kuwa serikali inaweza kuzuia watu wasimuombee mtu au kitu maana haya yanafanyika kati ya mtu na Muumba wako! Unaposema serikali ilizuia hivi ww ni taahira au nini🤔!? Kila mtu anavuna apandacho, tusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…