CCM acheni kulialia, hizi ndizo siasa chafu mlizochagua

Kumbe mmeanzia huku kumvizia hayati JPM mkapata upenyo wa kisingizio cha kwamba ana matatizo ya moyo?

Mliowajeruhi kwa kweli hawataacha kufumbuka macho na kifuatacho sijui watafanya nini kwako
 
Kumbe mmeanzia huku kumvizia hayati JPM mkapata upenyo wa kisingizio cha kwamba ana matatizo ya moyo?

Mliowajeruhi kwa kweli hawataacha kufumbuka macho na kifuatacho sijui watafanya nini kwako
Kumbe mna mawazo hayo poleni sana, kwa hiyo huamini kafa kwa matatizo ya moyo, inaonekana unajua mengi unatakiwa utusaidie unachokijua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…