- Thread starter
- #41
Spika na bunge lilifanya kulingana na taratibu za kibunge! Ni upumbafu uliopindukia kufikiri kuwa serikali inaweza kuzuia watu wasimuombee mtu au kitu maana haya yanafanyika kati ya mtu na Muumba wako! Unaposema serikali ilizuia hivi ww ni taahira au nini🤔!? Kila mtu anavuna apandacho, tusi
Polisi yapiga marufuku kumuombea Lissu | East Africa Television
CHADEMA Mkoani Rukwa kimeshindwa kufanya ibada ya maombi kwa ajili ya Mwanasheria Mkuu wa Chama chao, Mh. Tundu Lissu aliyejeruhiwa kwa risasi hivi karibuni baada ya polisi mkoani humo kuzuia ibada hiyo kwa kudai ni mkusanyiko usio halali.
www.eatv.tv