Uchaguzi 2020 CCM acheni kutisha wamiliki wa shule/vyuo binafsi. Eti taasisi zao zitafuatiliwa Lissu akipata kura nyingi

kwani kuna kura za taasisi ? watajuaje nani kapiga huku nani kapiga kule kura yake
 
Wameishiwa pumzi, wamebaki humu jf kujipa matumaini

Hakikisha unanwaga nyuki
Wanapambana kila kona kuhakikisha vibaraka wanashinda kwa kisingizio cha uchaguzi
Hii ni vita ya kiuchumi na Tanzania watashinda
 
Wapambane na hali zao

Tunategemea maboresho makubwa zaidi kwenye sekta ya elimu waliyoiua makusudi ili watengeneze pesa huku maskini wakitaabika


Mishahara mmeshindwa kuongeza kwa miaka mitano maboresho ndo mtaweza??
 
Mishahara mmeshindwa kuongeza kwa miaka mitano maboresho ndo mtaweza??

Unajua maana ya thamani ya pesa?
Mishahara haiongezwi kisiasa inaongezwa kwa misingi ya kiuchumi na itaongezwa baada ya uchaguzi, sio rushwa
 
Hawa watu ni wepesi sana bila polisi wala tume
 
safari hii wababe wa dunia wamewaambia lazima maoni ya wananchi kwenye sanduku la kura yaheshimiwe ndo maana muda wote wanakunyakunya hovyo kama bata.
 
Naona mnaanza kutengeneza movie nyingine, endeleeni tu lakini baada ya 28 mtaji utakuwa umekata
 
Acha utopolo wako!
 
safari hii wababe wa dunia wamewaambia lazima maoni ya wananchi kwenye sanduku la kura yaheshimiwe ndo maana muda wote wanakunyakunya hovyo kama bata.
Akili za kitumwa hizi kijana. Jitambue!
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Wanafunzi wa shule nao wanapiga kura?
Kwa muda huu vyuo vya juu na kati vimefungwa sasa wanatishaje wakati wapiga kura hawapo?
Na labda tuambie ni sehemu gani vituo vya kupiga kura vipo ndani ya vyuo vya watu binafsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…