Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Rudi shule wewe!!!! Kama Kiswahili tu kinakushinda utaelewa alichosema mtoa mada?Kwahiyo una taka kusema nyinyi ma cdm doo mnarida amani ya tafia hiri kabura hamja wepo amani haikuwepo acha upoyoyo
Jf imevamiwa na mleviKwahiyo una taka kusema nyinyi ma cdm doo mnarida amani ya tafia hiri kabura hamja wepo amani haikuwepo acha upoyoyo
Umeandika Lugha gani?Kwahiyo una taka kusema nyinyi ma cdm doo mnarida amani ya tafia hiri kabura hamja wepo amani haikuwepo acha upoyoyo
Siyo chama bali ni genge la kigaidiCCM ni chama cha waoga!!
Lazima utakuwa mhutu wewe na nyie ndiyo chanzo cha vurugu zote hizi .Kwahiyo una taka kusema nyinyi ma cdm doo mnarida amani ya tafia hiri kabura hamja wepo amani haikuwepo acha upoyoyo
Ccm hawawezi kutoka madarakani kwa katiba iliyopo hata kama watashindwa kwenye uchaguzi,sasa wameshaanza kuwa-train wanamgambo ambao watawatumia kwenye chaguzi zijazo!Kwahiyo una taka kusema nyinyi ma cdm doo mnarida amani ya tafia hiri kabura hamja wepo amani haikuwepo acha upoyoyo
Mapopoma kama ninyi ndio mtaji wa CCM angalia ulivyoandika sasa!Kwahiyo una taka kusema nyinyi ma cdm doo mnarida amani ya tafia hiri kabura hamja wepo amani haikuwepo acha upoyoyo
Sio mlevi, ni mpumbavu flani hiviJf imevamiwa na mlevi
Jenga hoja mzee baba...au huwezi kujenga hoja nikujengee hoja? Sema sijui kama utaweza kuiwasilisha hapa vzrπππππ¦Kwahiyo una taka kusema nyinyi ma cdm doo mnarida amani ya tafia hiri kabura hamja wepo amani haikuwepo acha upoyoyo
Achana nae huyo ana hasira kibao utafikiri kaguswa....Umeandika Lugha gani?