Samson Ngomboli
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 1,598
- 2,714
Aisee siasa sio kitu kizuri muda mwingine hasa visa hasa vya uongo vinapoanza kusambazwa,😀😀Kama nawaona chadema wanavyowachukia wenzao ccm yaani chadema akiona ccm anafukuzwa na Simba naye anaweza unga kumfanikishia Simba adhma yake😂😂🤣🤣🤣