S Samson Ngomboli JF-Expert Member Joined Oct 30, 2019 Posts 1,598 Reaction score 2,714 Nov 2, 2019 #21 Aisee siasa sio kitu kizuri muda mwingine hasa visa hasa vya uongo vinapoanza kusambazwa,😀😀Kama nawaona chadema wanavyowachukia wenzao ccm yaani chadema akiona ccm anafukuzwa na Simba naye anaweza unga kumfanikishia Simba adhma yake😂😂🤣🤣🤣
Aisee siasa sio kitu kizuri muda mwingine hasa visa hasa vya uongo vinapoanza kusambazwa,😀😀Kama nawaona chadema wanavyowachukia wenzao ccm yaani chadema akiona ccm anafukuzwa na Simba naye anaweza unga kumfanikishia Simba adhma yake😂😂🤣🤣🤣
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,682 Reaction score 39,811 Nov 2, 2019 #22 Nimeangalia hapa kinachoendelea mbeya ni uhuni mtupu watu wamerejesha fomu ofisi zimefungwa
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,682 Reaction score 39,811 Nov 2, 2019 #23 Angalia taarifa ya habari azam muda huu wameonesha Aureus Ndimbo said: Subira leta ushahidi wa unachokisema sio bra bra. Ungetuwekea na ushahidi tungekusaport Sana lkn kwa kuwa hauna ushahidi ngoja nipite tu. Click to expand...
Angalia taarifa ya habari azam muda huu wameonesha Aureus Ndimbo said: Subira leta ushahidi wa unachokisema sio bra bra. Ungetuwekea na ushahidi tungekusaport Sana lkn kwa kuwa hauna ushahidi ngoja nipite tu. Click to expand...
Waterloo JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 25,682 Reaction score 39,811 Nov 2, 2019 #24 Watu tunalazimishwa kwanguvu tuipende ccm huu ni upumbavu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 2, 2019 #25 Inasikitisha na hatari sana... Kila chaguzi mambo yao ni haya haya... Cc: mahondaw
HORSE POWER JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 2,328 Reaction score 1,666 Nov 2, 2019 #26 Ni kazi ngumu sana my kuacha mila yake.