Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mmeona leo Watanzania watawakalia kooni suala la Bandari mkaumua mutengeneze tukio la kumteua Makonda mtu mwenye kashfa za unyang'anyi na uuaji.
Ashukuriwe Mungu mmemteua kwenye mambo yahusuyo CCM na si ya kiutumishi.
Huko CCM dhambi zote mnazibeba na karibu viongozi wote mna dhambi kubwa kubwa kiasi kwamba dhambi za Makonda zinaonekana si dhambi.