Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Huyu mama ni muuaji, katili kama Hamas et alMmeona leo Watanzania watawakalia kooni suala la Bandari mkaumua mutengeneze tukio la kumteua Makonda mtu mwenye kashfa za unyang'anyi na uuaji.
Ashukuriwe Mungu mmemteua kwenye mambo yahusuyo CCM na si ya kiutumishi.
Huko CCM dhambi zote mnazibeba na karibu viongozi wote mna dhambi kubwa kubwa kiasi kwamba dhambi za Makonda zinaonekana si dhambi.
Akiongoza kama jiwe hatatoboaHuyu mama ni muuaji, katili kama Hamas et al
Chadema mna mambo sana nyie 😂Huyu mama ni muuaji, katili kama Hamas et al
😀😅😄HatoboiAkiongoza kama jiwe hatatoboa
Ugopa saana Watu wanaongea Kwa kulembua tumacho.Nilikuwa naanza kumuamini Samia kuwa anazizika Siasa za Chuki kumbe ni hadaa tu.
Naifuta rasmi Signature.
Siasa ni akiliMmeona leo Watanzania watawakalia kooni suala la Bandari mkaumua mutengeneze tukio la kumteua Makonda mtu mwenye kashfa za unyang'anyi na uuaji.
Ashukuriwe Mungu mmemteua kwenye mambo yahusuyo CCM na si ya kiutumishi.
Huko CCM dhambi zote mnazibeba na karibu viongozi wote mna dhambi kubwa kubwa kiasi kwamba dhambi za Makonda zinaonekana si dhambi.
Huenda anatumia macho yake kutu hypnotize Wapinzani.Ugopa saana Watu wanaongea Kwa kulembua tumacho.
Kateuliwa kimkakati kuua na kupoteza viajana wasioipenda CCMMmeona leo Watanzania watawakalia kooni suala la Bandari mkaumua mutengeneze tukio la kumteua Makonda mtu mwenye kashfa za unyang'anyi na uuaji.
Ashukuriwe Mungu mmemteua kwenye mambo yahusuyo CCM na si ya kiutumishi.
Huko CCM dhambi zote mnazibeba na karibu viongozi wote mna dhambi kubwa kubwa kiasi kwamba dhambi za Makonda zinaonekana si dhambi.
Kuna kipindi niliona unapotea, Kila nikijiuliza umepatwa na Nini hata sikupata jibu. Uliamini kirahisi mno Samia si wa kuamini ghafla.Nilikuwa naanza kumuamini Samia kuwa anazizika Siasa za Chuki kumbe ni hadaa tu.
Naifuta rasmi Signature.
Mbowe.Sijui Nani aliwadanganya Chadema kufanya maridhiano na CCM
Ni kweli aisee nilianza kumuamini sana Samia aisee... na zile falsafa zake za 4R's haswa ile REFORMS kumbe anatuhadaa na lengo lake ni Kupora Uchaguzi.Kuna kipindi niliona unapotea, Kila nikijiuliza umepatwa na Nini hata sikupata jibu. Uliamini kirahisi mno Samia si wa kuamini ghafla.
Mkuu hapa sijakuelewa, ufafanuzi tafadhari.Mwenyezi Mungu anachukizwa na mambo ya hila na nia the only ovu?!