CCM acheni uvivu fanyani siasa badala ya kutegemea Polisi na Jeshi iko siku watawageuka. Kizazi hili kijacho wanajeshi wake hawataweza kuunga mkono unyanyasaji.
Hawa viongozi wa kichawa wa jeshi la Polisi na Jeshi la wananchi iko siku wanawageuka na kufuata hisia za watu.
Angalieni wenzenu Chadema wamefungiwa mwaka mzima lakini wamefikisha sasa wanachama waliosajiliwa milioni 9.