CCM adui yenu sio LISSU, Adui yeni ni CCM yenyewe

CCM adui yenu sio LISSU, Adui yeni ni CCM yenyewe

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Ndungai alilazimishwa kujiuzulu

Samwel sitta alilazimishwa kustaafu usipika kwa sababu ya kunyooka.

Mangula alilishwa sumu

Makonda alilishwa sumu

Magufuli alilishwa sumu

Magufuli alikufa bado anahitaji kuwa Rais

Lowassa alizungukwa na kulazimika kujiuzulu

Mwakyembe alilishwa sumu na kumwagiwa tindikali

Membe alikufa ghafla

Mpango alilazimika kustaafu

Majaliwa amelazimika kustaafu

Hawa wote ni top leaders je wewe mwenzangu na mie wa kibaigwa au kakonko ukishughulikiwa Nani atakusemea ?

Kama top leaders walishughulikiwa na maisha yakaendelea je Lissu aliweka mkono uko?

Tukiwaambia no reform no Election muwe mnatuelewa

Lissu sio adui wa ccm Wala taifa, adui wa CCM ni CCM yenyewe!!
 
Na tena wanavyojazana kutaka Ubunge nafurahi sana maana watapeana sumu sana
 
Kwahio msemo wa zimwi likujualo hapo hauna nafasi maana wanakulana wanamalizana
 
Back
Top Bottom