Ni kipi alisaidia na uwaziri wake, hii nchi ndio maana inazidi kuwa ya ovyo, kumpa mtu cheo kikubwa cha uwaziri jitu kama adamu malima ni sawa na uwendawazimu.Huyo alishakuwa Waziri wa Fedha, ngoja awanyooshe
Imetoka juu, juu kwa Mungu au ndio kisingizio cha kuchafua wengine!? Kila mtu aubebe mzigo wake.Sio kwamba pesa tumegawana zote zingine zimepelekws halmadhauri ya jiji kama chanzo cha mapato, na hii order imetoka juu.
Malima, kazia hapohapo, lazima mlale na maluweluwe, badala ya kutaja majina ya wake zenu, mtataja la Malima.Ni kipi alisaidia na uwaziri wake, hii nchi ndio maana inazidi kuwa ya ovyo, kumpa mtu cheo kikubwa cha uwaziri jitu kama adamu malima ni sawa na uwendawazimu.
Na ndo muhimili ulioenda chini sana..!!Takukuru itafanya nini wakati order imetoka kwa anayewalipa mshaharaπππππππ
Mkuu issue kama hizi za ardhi zinakuaga na vitu vingi sana ngoja tuone mwisho wa kitu uchaguzi unakalibiaTakukuru itafanya nini wakati order imetoka kwa anayewalipa mshaharaπππππππ
Ushashiba sasa umeamua kuharisha. Endelee kuharisha.Poleni sana na mgawo ulishaisha nendeni mahakamani mkafungue kesi ya madai.
Angelina ana husika nini viwanja vimekaa miaka 20 adi vinaota vichuguu, sheria ya ardhi inasemaje kwa viwanja visivyoendelezwa.huyu mama hafai alipata kwa nguvu ya jiwe
Wewe mwenye njaa endelea kuumwa na tumbo poleni.Ushashiba sasa umeamua kuharisha. Endelee kuharisha.
Acha uongo ww kuna nyumba ya matope inauzwa bil 1?Acha propaganda, hizo nyumba za matope zilizouzwa katikati ya mji ziliuzwa kufuata taratibu zote na order ilitoka ofisi ya rais, wewe kama umelipwa na hilo zee liswahili maneno mengi(adamu malima), na kama hawakumpa fungu la kutosha mwambie kamnofu kalikuwa ni kadogo.
we acha ujinga adamu malima sio zee la kiswahili huyo ni msomi wa kiwango cha masters tena uingereza kwenye chuo ambacho maisha yako hutaweza kusomaAcha propaganda, hizo nyumba za matope zilizouzwa katikati ya mji ziliuzwa kufuata taratibu zote na order ilitoka ofisi ya rais, wewe kama umelipwa na hilo zee liswahili maneno mengi(adamu malima), na kama hawakumpa fungu la kutosha mwambie kamnofu kalikuwa ni kadogo.
Ishu ipo wapi na sehemu gani? Kwa eneo kama la cbd hicho kitaitwa kiwanja... Acha ubwege.Acha uongo ww kuna nyumba ya matope inauzwa bil 1?
Anadai nyumba ya tope. Wenye nyumba za tope nchi nzima hii si wangeuza nyumba zao wawe mabilionea. Mpumbavu sana huyo jamaa. Anatumia kisingizio cha kijinga khalalisha wizi .Acha uongo ww kuna nyumba ya matope inauzwa bil 1?
Hiyo master yake inamfanya kuwa muongeaji sanaaaaa kuliko vitendo basi hizi masters zianze kuchunguzwa.we acha ujinga adamu malima sio zee la kiswahili huyo ni msomi wa kiwango cha masters tena uingereza kwenye chuo ambacho maisha yako hutaweza kusoma
Kama hoja ni hizi ikulu mtaisikia kwenye radio
Ardhi ya serikali inaweza kukaa miaka mia, hata elfu, The Law Of Limitation Act, CAP 89 haitumiki dhidi ya ardhi ya serikali, ndio maana wavamizi wa Ardhi ya shirika la reli, barabaraambazo magufuli alivunjia watu wamekaa miaka 50, walitolewa.Angelina ana husika nini viwanja vimekaa miaka 20 adi vinaota vichuguu, sheria ya ardhi inasemaje kwa viwanja visivyoendelezwa.
Kwaiyo kama vinawamiliki sheria inasemaje apo kwamba vikiuzwa viliwe juu kwajuu wenye navyo wasipate kituAngelina ana husika nini viwanja vimekaa miaka 20 adi vinaota vichuguu, sheria ya ardhi inasemaje kwa viwanja visivyoendelezwa.