CCM, Angelina Mabula na Stanslaus Mabula, hizo nyumba zilizouzwa na Jiji la Mwanza zinaenda kuwa ajenda ya kwanza ya wapinzani. Mtatikiswa!

CCM, Angelina Mabula na Stanslaus Mabula, hizo nyumba zilizouzwa na Jiji la Mwanza zinaenda kuwa ajenda ya kwanza ya wapinzani. Mtatikiswa!

Takukuru itafanya nini wakati order imetoka kwa anayewalipa mshahara๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kila mtu atalipa hesabu yake, hasa kwa mazingira ya mwanza na Kanda ya ziwa, maji ya kisiasa ya ukanda huo hayajatulia
 
Ni kipi alisaidia na uwaziri wake, hii nchi ndio maana inazidi kuwa ya ovyo, kumpa mtu cheo kikubwa cha uwaziri jitu kama adamu malima ni sawa na uwendawazimu.
Malima, kazia hapohapo, lazima mlale na maluweluwe, badala ya kutaja majina ya wake zenu, mtataja la Malima.

Kama order imetoka juu, mbona umevurugwa?

Na hakuna juu zaidi ya mwananchi
 
Takukuru itafanya nini wakati order imetoka kwa anayewalipa mshahara๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mkuu issue kama hizi za ardhi zinakuaga na vitu vingi sana ngoja tuone mwisho wa kitu uchaguzi unakalibia
 
Acha propaganda, hizo nyumba za matope zilizouzwa katikati ya mji ziliuzwa kufuata taratibu zote na order ilitoka ofisi ya rais, wewe kama umelipwa na hilo zee liswahili maneno mengi(adamu malima), na kama hawakumpa fungu la kutosha mwambie kamnofu kalikuwa ni kadogo.
Acha uongo ww kuna nyumba ya matope inauzwa bil 1?
 
Acha propaganda, hizo nyumba za matope zilizouzwa katikati ya mji ziliuzwa kufuata taratibu zote na order ilitoka ofisi ya rais, wewe kama umelipwa na hilo zee liswahili maneno mengi(adamu malima), na kama hawakumpa fungu la kutosha mwambie kamnofu kalikuwa ni kadogo.
we acha ujinga adamu malima sio zee la kiswahili huyo ni msomi wa kiwango cha masters tena uingereza kwenye chuo ambacho maisha yako hutaweza kusoma
 
Angelina ana husika nini viwanja vimekaa miaka 20 adi vinaota vichuguu, sheria ya ardhi inasemaje kwa viwanja visivyoendelezwa.
Ardhi ya serikali inaweza kukaa miaka mia, hata elfu, The Law Of Limitation Act, CAP 89 haitumiki dhidi ya ardhi ya serikali, ndio maana wavamizi wa Ardhi ya shirika la reli, barabaraambazo magufuli alivunjia watu wamekaa miaka 50, walitolewa.

Kigezo Cha miaka 12 si katika ardhi ya umma.

Na aliyetakiwa kuendeleza ni Jiji, na yeye anamlaumu nani?
 
Back
Top Bottom