CCM, Angelina Mabula na Stanslaus Mabula, hizo nyumba zilizouzwa na Jiji la Mwanza zinaenda kuwa ajenda ya kwanza ya wapinzani. Mtatikiswa!

Majambazi yamedhulumiana. Yanahaha. CCM ni mafisadi na hawatakaa wabadilike.
 
Wewe ni muongo mkubwa,Wote tumeiona ile clip,Malima ameongea luve na wahusika wakiwepo!
Hakuna mahali Ikulu inaweza kuja kuingilia mambo ya uuzwaji wa nyumba za jiji.

Wale wezi Mkurugenzi na kundi lake,walitumia neno IKULU ili kuwatusha wale waliokuwa wakifuatilia.

Pia walipauza wakati kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ikiwa imekwisha weka zuio la uuzaji.

Wale wasubiri kupandishwa karandinga kama yule wa Arusha.

Na kama imekuuma kwa mkuu wa mkoa kufuatilia,nenda kwa Mkurugenzi umpelekee tobo kumfariji.

Sisi tunalaani wezi galafu mbwa ziko humu kuutetea.
 
Hata wakijichunguza, bado ripoti hua wanaahidi tu lakini hawatoi..! Mfano mmoja ni ile ripoti ya kuungua kwa soko la Kariakoo..!! Wiki bado haijaisha


Hii ni kweli na inashangaza sana!

Hivi wananchi wanatuchukuliaje sijui?!


Kuna Kamati za kiuchunguzi nyingi zinaundwa lakini hakuna mrejesho wa taarifa.
 
Serikali yenyewe si ndio imeamua kuliuza kwani kuna ngosha kaja kuuza hivyo viwanja.
 
Acha matusi mwerevu hujibu kwa hoja na si viroja, ulitaka kiwanja kikae muda gani bila kuendelezwa na ulitaka kiuzwe shilingi nagpi? Na kikiuzwa pesa ziende wapi? Na sehemu palipo hivyo viwanja ulitaka pawe na nini?
 
Kama taratibu za serikali hazijafatwa, maana yake serikali haijauza, ingeuza ingefata taratibu, tuwekee tangazo la tenda ya kuuza viwanja hivyo lililotolewa gazetini
Kuna viwanja vingapi viliuzwa bila tender kwanini mkomae wakati huu je tukisema mnaagenda zenu mtakataa?
 
Kwa nini kamati ya ulinzi na usalama inaingilia biashara ya uuzwaji wa viwanja??
 
Acha matusi mwerevu hujibu kwa hoja na si viroja, ulitaka kiwanja kikae muda gani bila kuendelezwa na ulitaka kiuzwe shilingi nagpi? Na kikiuzwa pesa ziende wapi? Na sehemu palipo hivyo viwanja ulitaka pawe na nini?
Yaani mlikuwa mna haraka ya kuuza kwani serikali inahama? Kwamba vimekaa muda mrefu? Ardhi inaoza? Jiji Lina life span kwamba limekaribia kufa? Nani unamuhoji kuhusu kuendeleza wakati ilikuwa jukumu la Jiji kuendeleza?
 
Kuna viwanja vingapi viliuzwa bila tender kwanini mkomae wakati huu je tukisema mnaagenda zenu mtakataa?
Moto huanza na cheche, Malima asiishie katika hicho kiwanja, achimbue na vingine, aunde Tume kuchimba hiyo Ofisi ya Jiji iliyooza na kutoa uvundo
 
Yaani mlikuwa mna haraka ya kuuza kwani serikali inahama? Kwamba vimekaa muda mrefu? Jiji Lina life span kwamba limekaribia kufa? Nani unamuhoji kuhusu kuendeleza wakati ilikuwa jukumu la Jiji kuendeleza?
Jiji limeviendeleza kwa kushirikiana na private sector au ulitaka wakuite wewe kabwela ndio ujue kuwa sasa tunaendeleza eneo.... Wewe ni fala sana.
 
Kwa nini kamati ya ulinzi na usalama inaingilia biashara ya uuzwaji wa viwanja??
Usalama wa Mali ya umma ni jukumu lake, ulinzi wa Mali ya umma ni jukumu lake, au unadhani ulinzi ni polisi na mgambo, na Usalama ni intelgensia tu.


Hiyo kamati ya Ulinzi na Usalama Ina tafsiri Pana. It's a cross cutting committee, mpaka usalama wa afya za wanamwanza, na ulinzi wa afya hiyo.
Ndio maana mkuu wa Mkoa ana washauri wa Kila jambo, wanaitwa makatibu tawala wasaidizi wa sekta fulani, hawezi kukurupuka, he is a full package

Mtu akauze soko kuu la mwanza au stendi, unatarajiwa hazitapigwa na amani kupotea?
 
we acha ujinga adamu malima sio zee la kiswahili huyo ni msomi wa kiwango cha masters tena uingereza kwenye chuo ambacho maisha yako hutaweza kusoma



Kuwa na cheti cha elimu fulani ni swala moja lakini kupata “Mind transformation “ ni swala lingine.

Kuna watumishi wengi hana vyeti vya masters wala visikutishe maana kinachotakiwa ni utendaji na maono yenye kuleta matokeo ya maamuzi yenye kuweza kupimika.
 
Kazi ni moja tu, ni ku-lift the veil na kubomoa ukuta wa wapigaji katika Jiji hilo.

Mambo ya vyeti mtayajua nyie, kwa hiyo aliyeuza Mali ya umma kifisadi hata kama ana mind transformation ndio tutulie, kaeni na theory zenu, sisi wananchi wa kawaida tunaangalia kiwanja chetu
 
Acha matusi mwerevu hujibu kwa hoja na si viroja, ulitaka kiwanja kikae muda gani bila kuendelezwa na ulitaka kiuzwe shilingi nagpi? Na kikiuzwa pesa ziende wapi? Na sehemu palipo hivyo viwanja ulitaka pawe na nini?
Kwa hiyo hata kama pamekaa miaka 100 ndio inahalalisha pakiuzwa fedha mgawane nyie!? Hoja ya kijinga kuhalalisha ufisadi.
 



Nilikuwa namjibu yule jamaa akikwambia kuwa huyo RC ako na masters degree ya ng’ambo,’

Ndipo nikamwambia kuwa asihadake na vyeti vya masters maana wapo wengi wanavyo lakini kichwani ndio weupe peee

Hatafuti kujifunza mambo zaidi , hawajui na hawana uwezo wa kuibua hoja, kutetea hoja kwa haki na Kweli n.k

Hawana maono hata ukimuuliza maono maana yake nini hawajui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…