Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Unakuwa DC, MB, DED etc wa mahala fulani hivi huwa hawajisikii kuwiwa kufanya ambayo ni outstanding yakafanyika ukiwepo hapo na kuacha alama ya mafanikio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usalama wa Mali ya umma ni jukumu lake, ulinzi wa Mali ya umma ni jukumu lake, au unadhani ulinzi ni polisi na mgambo, na Usalama ni intelgensia tu.
Hiyo kamati ya Ulinzi na Usalama Ina tafsiri Pana. It's a cross cutting committee, mpaka usalama wa afya za wanamwanza, na ulinzi wa afya hiyo.
Ndio maana mkuu wa Mkoa ana washauri wa Kila jambo, wanaitwa makatibu tawala wasaidizi wa sekta fulani, hawezi kukurupuka, he is a full package
Mtu akauze soko kuu la mwanza au stendi, unatarajiwa hazitapigwa na amani kupotea?
Mali ya umma haiwezi kufanyiwa uhalifu?Uuzwaji wa Mali za umma unapaswa kuwa chini ya kamati za uchumi na mipango kwa sababu wao ndio wataalamu.
Hata kama zitapigwa kwa soko kuu la Mwanza kuuzwa kama hiyo ni kwa maslahi makubwa zaidi ya Mwanza na ina faida kubwa zaidi kiuchumi baada ya tathmini ya kina zipigwe tu, Polisi wapo kufanya kazi.
Kamati za ulinzi na usalama inabidi zijikite kupambana na uhalifu sio mambo ya biashara za viwanja vya serikali.
Mali ya umma haiwezi kufanyiwa uhalifu?
Hata humohumo ndani ya Jiji hiyo kamati Ina watu wake ambao wameji camouflage
Sisi wakina tycoon tunapata faida, moja ni kuongeza cha mifukoni, mbili tunaendeleza jiji kwa kuongeza wawekezaji, tatu tunaongeza mapato ya halmashauri, nne tunalikuza jiji kutoka kwenye nyumba za vichuguu na kutransform adi kuwa na majengo ya kisasa.Kwa hiyo hata kama pamekaa miaka 100 ndio inahalalisha pakiuzwa fedha mgawane nyie!? Hoja ya kijinga kuhalalisha ufisadi.
Na hizo kamati huwa zinaongozwa na financial advisor, mkuu wa mkoa adamu malima mlamba asali sugu ambaye hataki wengine walambe asali.Mali ya umma haiwezi kufanyiwa uhalifu?
Hata humohumo ndani ya Jiji hiyo kamati Ina watu wake ambao wameji camouflage
Viwanja vimeshauzwa we unataka nini?Mtaitapika hiyo asali au mtaiharisha, Cha msingi itoke tu
Kwanza kabisa CCM nyamagana hamna chenu regardless nan atasimama CDM kuanzia huyo mnae muita mama yenu kwa sababu kuu mbili , mosi suala la machinga mpaka sasa linawala wananchi wengi kufuatia mnyororo wake na kuthibitisha hilo hakuna mkutano ambao huyo b mkubwa wenu ambao alishafanya mwanza akapata wananchi kwenda kumsikiliza huwa na waona watt wa shule pili ni imani kubwa ya wananchi ambayo walikuwa wameshanyweshwa na mwenda zake kuhusu wiizi, na upatikanaji wa fedha na matmizi, na pia baadhi ya mawaziri ambao tnaamini wanakula mali ya serikali huyu huyu mama yenu amewarudisha kwenye mfumo hivyo basi machawa mna kazi kubwa saana lakni kanda ya ziwa atakae rudi bungeni hawazidi 10Rais Samia amefungulia mikutano ya hadhara, na katika majiji ambayo Chadema wanajiwinda kuyadhibiti ni Mwanza, Arusha, Mbeya na Dar es salaam. Wanatafuta ajenda nzito za kutikisa na kuwashika wananchi.
Arusha walifanya tukio, Sasa hivi wote wananyea debe, angalau wanaarusha wanaelewa hatua zimechukuliwa.
Kwa Jiji la Mwanza, Mkurugenzi wa Jiji na maafisa ardhi nao hawajachelewa kuwapa wapinzani ajenda.
Kuna habari kwamba Jiji la mwanza limeuza nyumba zake katikati ya Jiji kwa bei ya kutupa, bila kufuata taratibu.
Maeneo hayo yameuzwa wakati machinga mjini hawana maeneo ya biashara, wameenda kutupwa igoma nyamongolo huko ambako hakuna wateja, na kiloleli, na bila kuzingatia maelekezo ya Rais ya ubia kati ya sekta binafsi na Serikali, kiasi kwamba wangeongea na taasisi yoyote ile au mtu binafsi, akawekeza, wakawa wanakula faida, na eneo likabali lao.
Ni kwamba, wanamwanza wameibiwa.
Stanslaus Mabula, wewe ndio mbunge wa Nyamagana, bila shaka unalijua Jimbo linakuwaga la moto, hasa ukizingatia "sponsor kafa".
Angelina Mabula, wewe ndio Waziri wa hiyo ardhi ya serikali iliyouzwa, na uhamishaji miliki usingefanyika bila kupitia Ofisi za ardhi. Na sijui kwa nini kama mamlaka ya serikali inapotaka kuuza ardhi isitakiwe kupata Kibali Cha Waziri wa Ardhi au Waziri Mkuu! Au Rais! Uwepo udhibiti.
Mna kazi moja tu, kuirudisha ardhi hiyo, hatutaki Rais aanze kupata shida kupata kura za Mwanza wakati alishanyoosha mapito yake kwa miradi mikubwa ya maendeleo.
Ni hapohapo mwanza machinga aliyekuwa anauza ndizi, Jiji lilimwaga ndizi zake na kumpiga, Leo Jiji Lina ardhi hapohapo katikati ya mji linaiuza!
Njia moja tu, kurejesha hizo nyumba, na Kila Afisa aliyehusika apelekwe mahakamani, wanamwanza wataridhika wakiwaona wahusika wanapanda kizimbani, na kupelekwa gereza la Butimba.
Na ndo muhimili ulioenda chini sana..!!
Tunaisafisha Kanda ya ziwa, CCM itashinda kwa kishindo kikuu ambacho kitasikika pande nne za Dunia, uhabeshi mpaka china, mpaka arabuni na UkraineKwanza kabisa CCM nyamagana hamna chenu regardless nan atasimama CDM kuanzia huyo mnae muita mama yenu kwa sababu kuu mbili , mosi suala la machinga mpaka sasa linawala wananchi wengi kufuatia mnyororo wake na kuthibitisha hilo hakuna mkutano ambao huyo b mkubwa wenu ambao alishafanya mwanza akapata wananchi kwenda kumsikiliza huwa na waona watt wa shule pili ni imani kubwa ya wananchi ambayo walikuwa wameshanyweshwa na mwenda zake kuhusu wiizi, na upatikanaji wa fedha na matmizi, na pia baadhi ya mawaziri ambao tnaamini wanakula mali ya serikali huyu huyu mama yenu amewarudisha kwenye mfumo hivyo basi machawa mna kazi kubwa saana lakni kanda ya ziwa atakae rudi bungeni hawazidi 10
Vitarudi siku ukibaki mifupa kwenye nyumba yako ya milele, na sasa kuna bonge la project lipo kwenye substructure, vimbeni na mpasuke.Mtavitapika, na vitarudi, ila nyie mtahenya.
Zakari alirudisha lile jengo la nyanza.
Sasa hivi kisena anarudisha mwendokasi
Huo usalama Tz singekuwa hakuna ufisadi.., akubali sio kila deal lazima ipitie mikononi mwakeUsalama wa Mali ya umma ni jukumu lake, ulinzi wa Mali ya umma ni jukumu lake, au unadhani ulinzi ni polisi na mgambo, na Usalama ni intelgensia tu.
Hiyo kamati ya Ulinzi na Usalama Ina tafsiri Pana. It's a cross cutting committee, mpaka usalama wa afya za wanamwanza, na ulinzi wa afya hiyo.
Ndio maana mkuu wa Mkoa ana washauri wa Kila jambo, wanaitwa makatibu tawala wasaidizi wa sekta fulani, hawezi kukurupuka, he is a full package
Mtu akauze soko kuu la mwanza au stendi, unatarajiwa hazitapigwa na amani kupotea?
Marope anatangaza deal kwa 70bn, mnakomaa na hivo viwaja havizidi hata 10bn.Mali ya serikali huwezi fanyia deal
Achana na hao watu wadogo sana, hivi viwanja tumeuza kwa matycoon wa ngazi za juu za hii serikali... Sitak kusema mengi.Ukijenga mahala si ardhi yako ni sawa na Bure tu, juzi S.H.Amon kafanyiwa kitu mbaya
Tutakutana saiti, Kuna mtu alikuwa na nguvu kama Manji?Achana na hao watu wadogo sana, hivi viwanja tumeuza kwa matycoon wa ngazi za juu za hii serikali... Sitak kusema mengi.
Achana na hao watu wadogo sana, hivi viwanja tumeuza kwa matycoon wa ngazi za juu za hii serikali... Sitak kusema mengi.
Labda kanda ya ziwa pengine, sisi Ilemela na nyamagana tutasimama na wakina double Mabula the greatKwanza kabisa CCM nyamagana hamna chenu regardless nan atasimama CDM kuanzia huyo mnae muita mama yenu kwa sababu kuu mbili , mosi suala la machinga mpaka sasa linawala wananchi wengi kufuatia mnyororo wake na kuthibitisha hilo hakuna mkutano ambao huyo b mkubwa wenu ambao alishafanya mwanza akapata wananchi kwenda kumsikiliza huwa na waona watt wa shule pili ni imani kubwa ya wananchi ambayo walikuwa wameshanyweshwa na mwenda zake kuhusu wiizi, na upatikanaji wa fedha na matmizi, na pia baadhi ya mawaziri ambao tnaamini wanakula mali ya serikali huyu huyu mama yenu amewarudisha kwenye mfumo hivyo basi machawa mna kazi kubwa saana lakni kanda ya ziwa atakae rudi bungeni hawazidi 10