CCM, Angelina Mabula na Stanslaus Mabula, hizo nyumba zilizouzwa na Jiji la Mwanza zinaenda kuwa ajenda ya kwanza ya wapinzani. Mtatikiswa!

CCM, Angelina Mabula na Stanslaus Mabula, hizo nyumba zilizouzwa na Jiji la Mwanza zinaenda kuwa ajenda ya kwanza ya wapinzani. Mtatikiswa!

Marope anatangaza deal kwa 70bn, mnakomaa na hivo viwaja havizidi hata 10bn.
Hiyo deal akubali imempita kushoto

Malope projects zake ni National level,

Kwa level ya Halmashauri hizo shilingi 10 Billion ni fedha nyingi sana.

Usinyanganye analysis.
 
Malope projects zake ni National level,

Kwa level ya Halmashauri hizo shilingi 10 Billion ni fedha nyingi sana.

Usinyanganye analysis.
Mbona unaongea pumba we pimbi..,
Mali ngapi za serikali zinapigwa mnada kwa bei ya kutupa hivo viwanja viwili ndio imekuwa nongwa!?
Washachukua fanyeni cha kuwafanya na Huyo mkuu wenu wa mkoa
 
Mbona unaongea pumba we pimbi..,
Mali ngapi za serikali zinapigwa mnada kwa bei ya kutupa hivo viwanja viwili ndio imekuwa nongwa!?
Washachukua fanyeni cha kuwafanya na Huyo mkuu wenu wa mkoa

Kwa sababu ya kiwango chako finyu cha ufahamu basi nakusamehe bure kwa hayo matusi yako! [emoji3]

Umeshindwa kujibu kwa hoja unaleta matusi?!

Kumbe wahuni na vilaza wako mpaka humu jamii forum [emoji848][emoji848]
 
Mbona unaongea pumba we pimbi..,
Mali ngapi za serikali zinapigwa mnada kwa bei ya kutupa hivo viwanja viwili ndio imekuwa nongwa!?
Washachukua fanyeni cha kuwafanya na Huyo mkuu wenu wa mkoa
Safi sana hakika wewe ndio the great thinker.
 
Rais Samia amefungulia mikutano ya hadhara, na katika majiji ambayo Chadema wanajiwinda kuyadhibiti ni Mwanza, Arusha, Mbeya na Dar es salaam. Wanatafuta ajenda nzito za kutikisa na kuwashika wananchi.

Arusha walifanya tukio, Sasa hivi wote wananyea debe, angalau wanaarusha wanaelewa hatua zimechukuliwa.

Kwa Jiji la Mwanza, Mkurugenzi wa Jiji na maafisa ardhi nao hawajachelewa kuwapa wapinzani ajenda.

Kuna habari kwamba Jiji la mwanza limeuza nyumba zake katikati ya Jiji kwa bei ya kutupa, bila kufuata taratibu.

Maeneo hayo yameuzwa wakati machinga mjini hawana maeneo ya biashara, wameenda kutupwa igoma nyamongolo huko ambako hakuna wateja, na kiloleli, na bila kuzingatia maelekezo ya Rais ya ubia kati ya sekta binafsi na Serikali, kiasi kwamba wangeongea na taasisi yoyote ile au mtu binafsi, akawekeza, wakawa wanakula faida, na eneo likabali lao.

Ni kwamba, wanamwanza wameibiwa.

Stanslaus Mabula, wewe ndio mbunge wa Nyamagana, bila shaka unalijua Jimbo linakuwaga la moto, hasa ukizingatia "sponsor kafa".

Angelina Mabula, wewe ndio Waziri wa hiyo ardhi ya serikali iliyouzwa, na uhamishaji miliki usingefanyika bila kupitia Ofisi za ardhi. Na sijui kwa nini kama mamlaka ya serikali inapotaka kuuza ardhi isitakiwe kupata Kibali Cha Waziri wa Ardhi au Waziri Mkuu! Au Rais! Uwepo udhibiti.

Mna kazi moja tu, kuirudisha ardhi hiyo, hatutaki Rais aanze kupata shida kupata kura za Mwanza wakati alishanyoosha mapito yake kwa miradi mikubwa ya maendeleo.

Ni hapohapo mwanza machinga aliyekuwa anauza ndizi, Jiji lilimwaga ndizi zake na kumpiga, Leo Jiji Lina ardhi hapohapo katikati ya mji linaiuza!

Njia moja tu, kurejesha hizo nyumba, na Kila Afisa aliyehusika apelekwe mahakamani, wanamwanza wataridhika wakiwaona wahusika wanapanda kizimbani, na kupelekwa gereza la Butimba.
Kwanza Hawa kina Mabula ni ndugu au?
 
Kwa sababu ya kiwango chako finyu cha ufahamu basi nakusamehe bure kwa hayo matusi yako! [emoji3]

Umeshindwa kujibu kwa hoja unaleta matusi?!

Kumbe wahuni na vilaza wako mpaka humu jamii forum [emoji848][emoji848]
Huna hoja nimekujibu kuendana na akili yako.
Angekuwa ni mtu ambaye haishi Tz sawa.
Nimekuuliza mali ngapi za serikali zinauzwa kwa bei ya kutupwa!?
Hivo viwanja viwili vina nini mpaka mjifanye mmeumia sana kupigwa mnada!?
 
Malope projects zake ni National level,

Kwa level ya Halmashauri hizo shilingi 10 Billion ni fedha nyingi sana.

Usinyanganye analysis.
Unajustify marope kupiga zaidi ya 70 bil same time unahoji viwanja havina thaman mbele ya 70bil your insane.
Maybe alitaka kununua yeye au aliyekuwa anamdalalia hakupata au hakupata huo mgao unajuaj
 
Huna hoja nimekujibu kuendana na akili yako.
Angekuwa ni mtu ambaye haishi Tz sawa.
Nimekuuliza mali ngapi za serikali zinauzwa kwa bei ya kutupwa!?
Hivo viwanja viwili vina nini mpaka mjifanye mmeumia sana kupigwa mnada!?
Hili swali niliwauliza kwann hivi viwanja viwili wavishikilie na kwanini kipindi hiki?
 
Hili swali niliwauliza kwann hivi viwanja viwili wavishikilie na kwanini kipindi hiki?
Tena mtu mwenyewe hana hata credibility za kuhoji, watu wameuza mashirika, watu wameuza loliondo, wameuza gesi mtu anaumia na viwanja viwili vya mwanza
 
Ni kweli kabisa,

Anakuwa hana uwezo wa kujibu hoja badala yake anatoa matusi.

Mojawapo ya kujionesha kuwa na akili finyu ni pamoja na kuzoea kutukana watu hususa usowajua!
Nimekuona akili yako haiko sawa ulipo justify marope kupiga 70bil na unaumia kuhusu viwanja viwili your insane
 
Huna hoja nimekujibu kuendana na akili yako.
Angekuwa ni mtu ambaye haishi Tz sawa.
Nimekuuliza mali ngapi za serikali zinauzwa kwa bei ya kutupwa!?
Hivo viwanja viwili vina nini mpaka mjifanye mmeumia sana kupigwa mnada!?

Aaah wapi wewe mie siyo size yako ya ufahamu!

Hunifikii hata Kwa thumni [emoji28][emoji1] halafu sijaridhika bado nina kiu ya kujifunza mambo mbalimbali kila nipatapo nafasi.

Kwa matusi yako hayo mahala pasipo hitajika hapa,

Hivi ni vina vingine na mapana yake!

Tafuta kujua zaidi.

Na viembii vyako vya msimu hivyo ukipata basi unakuja jf?!

Ni rahisi sana kujizuia kutukana mtu humu na ukiona mtu anatukana watu humu ujue akiwa kwenye Ulimwengu wake halisi ni mhuni wa matusi matusi tu!

Pia matusi huwa yanatafsiriwa kutolewa na mtu ambaye amevurugwa!

Mtu ambae amejaa stress,

Sasa kwa nini ujichoreshe humu ?

Werevu huwa wanang’amua!
 
Aaah wapi wewe mie size yako ya ufahamu!

Hunifikii hata thumni [emoji28][emoji1] halafu sijaridhika bado nina kiu ya kujifunza mambo mbalimbali kila nipatapo nafasi.

Kwa matusi yako hayo mahala pasipo hitajika hapa,

Hivi ni vina vingine na mapana yake!

Tafuta kujua zaidi.

Na viembii vyako vya msimu hivyo ukipata basi unakuja jf?!

Ni rahisi sana kujizuia kutukana mtu humu na ukiona mtu anatukana watu humu ujue akiwa kwenye Ulimwengu wake halisi ni mhuni wa matusi matusi tu!

Pia matusi huwa yanatafsiriwa kutolewa na mtu ambaye amevurugwa!

Mtu ambae amejaa stress,

Sasa kwa nini ujichoreshe humu ?

Werevu huwa wanang’amua!
Hakuna mtu mwenye pesa anayeweza kuumia viwanja viwili kuuzwa, same time anafurahi mtu mwingine kupiga 70bil.
Mengine yote uko right I have nothing to prove
 
Tena mtu mwenyewe hana hata credibility za kuhoji, watu wameuza mashirika, watu wameuza loliondo, wameuza gesi mtu anaumia na viwanja viwili vya mwanza

Kama mwananchi , Kwani kuwa RC inaondoa uananchi wake?

Mtaenda kueleza hayo mbele ya mahakama uone kwenye macho ya sheria kama yana mashiko!

Usije ukasema wengi wanaibaga na hawakamatwi, ngoja na mie niibe kidogo ukimatwa linakuwa lako hilo! [emoji108]
 
Back
Top Bottom