Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 974
- 2,106
Halafu ananiachaga hoi,ana vicoment vyepesi mnoo na vya kitoto sana yan.Yaani wewe sijawahi kuona ukipinga hoja kwa vitendo au kwa point zenye mashiko..... Huyo ni mwana CCM mwenzako,
Mimi sina chama ila ninapoona hoja zako kwenye haya majukwaa huwa nafikiria sana na kujiuliza, wanaokulipa wanakulipa shilling ngapi
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Na huu ndiyo ukweli na msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Hakuna mtu mwenye akili timamu atakayempa Magufuli kura. Nasema hakuna
Sana tu, bumunda hilo.Bila shaka unagogwa
CCM ipi unayoisema?Kuna wana ccm zaid ya hamsini ninaowafahamu watampa kura Lisu
JF watakuwa wameondoa, it shown has moved to another server.Inagoma kufunguka!Nainaonekana imeanzishwa na maccm
Tunaonekana kijani, lakini mioyoni tuna jambo let. ......
Mm kwa ofisi yetu kulikuwa na wagombea 3 ,toka wanyimwe salary wakimchukia jamaa mazima na wanasema wazi watampa TL kura ,maccm yana Hali mbaya Sana saizi mbinu wanayotaka kuitumia kuhalalisha wizi ni kusema eti tayari Wana kura za wanachama wao mln.17 huo ni uhuni wakati kiukweli zaidi ya robo au nusu ya maccm wanampigia TunduKuna wana ccm zaid ya hamsini ninaowafahamu watampa kura Lisu
Dah...acha ujinga..kura ni siri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna wana ccm zaid ya hamsini ninaowafahamu watampa kura Lisu
Haya yalikuwa maoni yangu lakini pia na heshimu maoni yakoZamani zile walikuwa ni wazee waliokuwa wanachama wa ccm, hivi sasa wazee wa enzi zile wengi wao wameshafariki na miji yao imerithiwa na vijana.
Hii haiwezi kuwa ni moja wapo ya sababu zenu za kuhalalisha wizi wa kura.
Dah....98% ya watanzania hawana akili timamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii imefanywa jehanam. nitamshangaa mtanzania mwenye akili timamu kumpigia kura Magufuli tarehe 28.
Kwa heshma ya Sheikh wangu Ponda Issa Ponda, sitopiga kura mwaka huu japo roho inaniuma
Wewe mwanaCCM gani utakayempa kura Lissu? Kama wewe ni fisadi, huna uzalendo, mla rushwa, asiyependa maendeleo, anayependa ushoga, ..... NDIYO UTAMPA KURA huyu kibaraka wa Wazungu. Ujue kuwa mwenzako Lissu analianzisha hapa na kwamba tayari ana tiketi ya kukimbia nchi mara tuu baada ya uchaguzi maana anajua fika kuwa ATASHINDWA. Hata mshirika mwenzake Membe anajua Lissu hafai kuwa Rais. HATUDANGANYIKI. SISI WATANZANIA WA VYAMA VYOTE KURA ZETU KWA MAGUFULI.Kura kwa Lissu wana CCM wenzangu
Labda kama Lengo langu ilikuwa ni kutueleza kuwa ulikuwa Paris Ila kimsingi hakuna point yoyote uliyoelezea hapo.Kubaki nyuma ya ulimwengu wa kiliberali sawa lakini nimetoka Paris wiki 2 zimepita wetu wanataka JPM akawafanyizie kazi wakulima wa ngano na wafugaji. Yellow vest wanamhitaji kuliko mnavyodhani. Nyie jifurahisheni lakini mjiandae kisaikolojia
Lisu is a victorUsmfanishe Lowasa na huyo mropkaji kutoka ubeligiji
Lisu is a victorView attachment 1611149
There You are.... WanaCCM wengi tutampa kura Lisu.... Tumetukanwa sana na hawa wakina Bashiru na Pole PoleMimi ni baadhi ya wahanga wa kamati kuu. Ingawa tulishinda kwenye kura za maoni matokeo yake najina yetu yalikatwa. Nilikuwa wa kwanza lakini baadae niliondolewa. Nilipohoji niliambiwa ntapigwa money laundering. Nikaufyata. Ila kwa kweli tuna jambo let tarehe 28 Oktoba.
Tuko wengi. Rafiki yangu ni katibu wa CCM mkoa, naye ana lake jambo 28 October. Yeye alimchangia Lissu laki 5 na mgombea ubunge laki moja. Tunaonekana kijani, lakini mioyoni tuna jambo let. Wana CCM wenzangu, CCM asili, fanyeni kweli tarehe 28 October.
Tugawane mbao na hawa CCM mpya. Kura kwa Lissu
Mkuu usipoteze haki yako, piga kura ya kwa TAL