Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Sina uhakika kama hiki chama kinachojinasibu kuwa dola kinajitizama ila simple research yangu mitandaoni na mtaani mnaenda down the hill kwa speed ya mwanga hasa huduma kwenye ofice za umma .
Rushwa ,hali ya uchumi wa watu, serikali kurejuvinate kwenye stage ilokwisha kataliwa huko nyuma , in my opinion awamu ya tano ni sensitive issue ya ku handle with care mkicheza nayo kifo cha mende kitawahusu.
Yangu ni hayo katikati ya kumbukumbu hii ya Baba wa Taifa letu pendwa. Kazi iendelee