Pre GE2025 CCM chukua tahadhari, vijana wameanza kuichukua nafasi yao

Pre GE2025 CCM chukua tahadhari, vijana wameanza kuichukua nafasi yao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bado tunasafari ndefu yenye milima na mabonde....na njia n nyembambaa
FB_IMG_1722538277634.jpg
 
Huyu jamaa Mwabukusi ana nguvu fulani ya ushawishi nadhani alichelewa kujua kipawa chake.

Huyu ni zaidi ya mwanasiasa he has something big to offer in our country.
Ni kwel ukimsikiliza mwabukusi ana kitu ndani yake..

Anavyo ongea unaona kabisa ana kitu ndani yake

NB.
Tunao kina MWABUKUSI wengi Sana ambao WAMEAMUA KUA/ KUJITENGA na SIASA

Ni rai yangu kwa WATU mbali mbali wenye maono na karama ya uongozi kujitokeza kwa wingi Sanaa kugombea nafasi mbali mbali za uongozi na sio kukaa pembeni na kushushua na kutoa lawama
 
Kwa mifumo yetu ya upigaji kura za chaguzi,bado sisiemu itaendelea kusumbua.Bro Boni kashinda kwasababu nature ya wapiga kura karibia wote ni elite na ni rahisi kuwa organized kwenye social Media, magroup ya WhatsApp na exposure...... lakini chaguzi za nchi sehemu kubwa matumizi ya social networks ni mdogo,japo on the ground uelewa umeongezeka lakini bado sisiemu inapakutokea kwenye chaguzi.......
CCM sisi tuna mizizi
 
Ni kwel ukimsikiliza mwabukusi ana kitu ndani yake..

Anavyo ongea unaona kabisa ana kitu ndani yake

NB.
Tunao kina MWABUKUSI wengi Sana ambao WAMEAMUA KUA/ KUJITENGA na SIASA

Ni rai yangu kwa WATU mbali mbali wenye maono na karama ya uongozi kujitokeza kwa wingi Sanaa kugombea nafasi mbali mbali za uongozi na sio kukaa pembeni na kushushua na kutoa lawama

Swadakta 2025 mkuu chukua jimbo
 
Mimi sioni ushawishi wa TLS katika uendeshaji wa nchi yetu. Mwabukusi atamaliza kipindi chake Cha uraisi bila athari ya maana.
Mambo haya hayatabiriki sana watu hubadilika kila wakati.
 
Ndio lengo letu sote japo sioni upinzani wowote makini wa kuchukua nchi hii!!
Ni kweli, hasa ikizangatiwa bado watu wanaenda kupoteza muda kwenye chaguzi ambazo wahesabu kura ndio wanaamua mshindi, na sio wingi wa kura. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataleta mabadiliko ya kweli.
 
Kipindi cha kina lisu na fatma, tls ilijulikana na wachache na hata chaguzi zao zilifwatliwa na watu wachache hasa wa husika, ila sahivi mpka mimi uku ushilo nimefahamu bwana, kumbe inawezekana

Mtatoka tu siku moja.
Kumbe ishu ni kujulikana........upande wa pili mlishaambiwa kikubwa ni muhesabu kura,,,,kazi imeisha
 
Kumbe ishu ni kujulikana........upande wa pili mlishaambiwa kikubwa ni muhesabu kura,,,,kazi imeisha
Katika siasa za jamii, hutokea mtu anayewagusa watu kwa namna anavyojieleza hadharani.
Na wakati mwingine hukubalika.
Namkumbuka Christopher Mtikila alikuwa mtu wa aina hiyo.
Tuone jinsi Mwabukusi atakavyoweza kubadili upepo, hata kwa kiasi tu, hali ya hewa nchini.
 
2025 naenda kugombea ubunge kupitia chama cha upinzani, halafu ccm mkiniibia kura nafungua kesi mahakamani, TLS chini ya Mwabukusi wataisinamia. Raha sana.
 
mjinga kweli
ujana ni suala la umri 1st and foremost
uwe na miaka 65+ halafu ujiite kijana?
eti state of mind
Uzee kwa makaratasi na worldwide una anzia 60+

Ukiwa Chini ya (below) 60yrs unahesabika kijana mwenzetu 😊 mfano JK awamu ya kwanza alikua na 50 Kama sikosei Ila alihesabika kijana mwenzetu
 
Back
Top Bottom