Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
- #41
CCM kweli ina mizizi, lkini kama huko Kenya watoto wa Gen Z wamewanyoosha wazee.CCM sisi tuna mizizi
Tanzania tunaenda kistaarabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM kweli ina mizizi, lkini kama huko Kenya watoto wa Gen Z wamewanyoosha wazee.CCM sisi tuna mizizi
Tena JK na Lowassa watu wanasahau waliitwa kizazi cha Boyz to Men.Uzee kwa makaratasi na worldwide una anzia 60+
Ukiwa Chini ya (below) 60yrs unahesabika kijana mwenzetu 😊 mfano JK awamu ya kwanza alikua na 50 Kama sikosei Ila alihesabika kijana mwenzetu
Unaona haina ukweli kwa kuwa wewe ni mmoja ambao mkisha hesabu za wizi kinafiki una mwoba Mungu akusamehe.Sina nia mbaya ila sion kama hoja yako ina ukwel sana.
Mwabukusi sio wa kwanza kushinda.
Alishashinda Tundu lisu na Fatma Karume, ilileta tofauti gani??
Mwanzo wa kung'ooka chama chakavu,lenye kidumu cha kuvujisha uchumi wetu.Vivaa Mwabukusi Vivaa!!!✊️
usilolijua......Unaona haina ukweli kwa kuwa wewe ni mmoja ambao mkisha hesabu za wizi kinafiki una mwoba Mungu akusamehe.
KIpo tu nitakachoweza, wewe si Mungu kupangua watu kile wanaweza au lah!Yaani unaambiwa Mwabukusi, wewe unasema Tundu na Fatma! Nini utweza hapa duniani wewe!?
Tunapata ufumbuzi tuliokuwa na baraka kutoka kwa waovu wenyewe.Na hiyo ni miujiza na uhakika wa uwepo wa nguvu iliyo kuu na isiyofananishwa na chochote.usilolijua......
Hii ndio hoja ya msingi,hadi zuio kushindwa Mahakama Kuu, ile ilikuwa kampeni tosha kwa vijana TLS.💯👌🏿
unaujua umri wa mleta uzi?Mwabukusi ni kijana? Kiaje labda!
Kigwangalla ni Mzee kwa sababu ya Kupenda uganga wa Kienyeji 😃Ujana na uzee ni state of mind
Mwabukusi ni kijana
Mbowe ni kijana pia
Kijana sio swala la umri .
John umesha mjulisha mhusija lakini au unamsenea bila ridhaa yake?Kigwangalla ni Mzee kwa sababu ya Kupenda uganga wa Kienyeji 😃
Huku hamtuwezi kibomu kimona tu mnajikojoleaCCM kweli ina mizizi, lkini kama huko Kenya watoto wa Gen Z wamewanyoosha wazee.
Tanzania tunaenda kistaarabu.
Kijana wa zamaniMwabukusi ni kijana? Kiaje labda!
Habari ndo hiyo. Na kuanzia miaka ya 80 kuendelea ni watoto hamna say.😀Mtu wa kuzaliwa miaka ya 70 ni kijana? Definition ya ujana haijawahi eleweka Tanganyika.
Ni kweli kabisa..Tena JK na Lowassa watu wanasahau waliitwa kizazi cha Boyz to Men.
Mzee wa keshoKijana wa zamani
Sasa kinaingia kizazi kipya ambacho hata CCM.hawaijui misingi yake.Wenye mamlaka waliopo CCM hawakutumia Bongo zao vizuri!
Mwabukusi kashinda kwa sababu ya kiburi Cha CCM Cha kutotaka katiba mpya!!
Mwabukusi kaweka wazi yeye anaenda kupigania katiba mpya ambayo sisi ccm ndio tulianzisha mchakato wake halafu Kwa kiburi,dharau,upuuzi n.k tukaachana nap tukijua kabisa hilo ni takwa la kizazi hiki!!
Ccm chama changu kimemshindisha mwabukusi urais TLS!!