Pre GE2025 CCM chukua tahadhari, vijana wameanza kuichukua nafasi yao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wenye mamlaka waliopo CCM hawakutumia Bongo zao vizuri!

Mwabukusi kashinda kwa sababu ya kiburi Cha CCM Cha kutotaka katiba mpya!!

Mwabukusi kaweka wazi yeye anaenda kupigania katiba mpya ambayo sisi ccm ndio tulianzisha mchakato wake halafu Kwa kiburi,dharau,upuuzi n.k tukaachana nap tukijua kabisa hilo ni takwa la kizazi hiki!!

Ccm chama changu kimemshindisha mwabukusi urais TLS!!
 
Mtu wa kuzaliwa miaka ya 70 ni kijana? Definition ya ujana haijawahi eleweka Tanganyika.
Habari ndo hiyo. Na kuanzia miaka ya 80 kuendelea ni watoto hamna say.πŸ˜€
 
Sasa kinaingia kizazi kipya ambacho hata CCM.hawaijui misingi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…