Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Kuna ubaya gani Au lipi la ajabu, Kwani haijatokea hapa duniani. SOKOINE N.K.Katika hali inayodhihirisha kuwa kuna binadamu walizaliwa bila haya, aliyewahi kuwa Meya wa jiji la DSM Abbas Kimbisa, ametoa pendekezo kwenye kikao cha CCM kinachofanyika DODOMA kukibadili jina Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na kukiita Jakaya Kikwete University
Akisoma ujumbe ambao bila shaka amepewa na Kikwete mwenyewe, Kimbisa amesema yeye ni tarishi na hayo anayosoma ni mapendekezo ya watu fulani ambao hakuwataja.
Source: Taarifa ya habari Channel Ten
Nimeisikia hiyo habari nikapata kichefuchefu ghafla!
Nimesikiliza Channel Ten eti CCM wanapendekeza UDOM iitwe Kikwete University. Hii si ni dharau kwa Tasinia ya Elimu nchini? Sasa nimeamini maneno ya Karume kuwa ndani ya vikao vyao kuna watu wana akili za samaki.
Kuna ubaya gani Au lipi la ajabu, Kwani haijatokea hapa duniani. SOKOINE N.K.
Katika hali inayodhihirisha kuwa kuna binadamu walizaliwa bila haya, aliyewahi kuwa Meya wa jiji la DSM Abbas Kimbisa, ametoa pendekezo kwenye kikao cha CCM kinachofanyika DODOMA kukibadili jina Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na kukiita Jakaya Kikwete University
Akisoma ujumbe ambao bila shaka amepewa na Kikwete mwenyewe, Kimbisa amesema yeye ni tarishi na hayo anayosoma ni mapendekezo ya watu fulani ambao hakuwataja.
Source: Taarifa ya habari Channel Ten
hakuna ubaya.....anastahili heshima hio
Kuna ubaya gani Au lipi la ajabu, Kwani haijatokea hapa duniani. SOKOINE N.K.
Yaani ayafanyayo huyu jamaa ni aibu tupu.Majina ya vitu mbalimbali eg Nyerere road,Sokoine University nk yalitolewa miaka kadhaa baada ya wahusika kutoka madarakani na heshima hiyo kupewa na wengine baada ya kutathimini michango ya wahusika. Sasa huyu jamaa anajipa mwenyewe heshima asiyostahili. Na kwa vile wife & son ni wajumbe wa vikao hivyo basi walipiga vigelegele. Akili ya samaki kuongoza akili za watu!Mkuu, sio kwamba ni ule mchezo wa "Rafki angu eeh, twende pale tukazuge halafu watu wakiuliza nani anafaa kuwa mwenyekiti we ntaje mimi, nitajifanya kukataa lkn wewe sisitiza"?
chuo kikuu dodoma ni moja kati ya mambo makuu ya maendeleo aliyo yafanya jk ni jitihada binafsi na ushauri wake ali usimamia kwa karibu sana mpaka chuo kile kikaanza kusomesha vijana wa kitanzania....ni chuo ambacho hakimo katika bajesti za serikalikwa lipi linalohusiana na chuo hicho?
Ni ccm wa kuamua hilo?
chuo kikuu dodoma ni moja kati ya mambo makuu ya maendeleo aliyo yafanya jk ni jitihada binafsi na ushauri wake ali usimamia kwa karibu sana mpaka chuo kile kikaanza kusomesha vijana wa kitanzania....ni chuo ambacho hakimo katika bajesti za serikali
anastahili heshima hio.....

Kwani si jina tu linaimpact gani katika credibility ya chuo, hata wakitaka kukiita Mwingulu Nchemba au Steven Wassira University poa tu!