CCM: Chuo cha Dodoma kiitwe JK University

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
15,118
Reaction score
16,485
Katika hali inayodhihirisha kuwa kuna binadamu walizaliwa bila haya, aliyewahi kuwa Meya wa jiji la DSM Abbas Kimbisa, ametoa pendekezo kwenye kikao cha CCM kinachofanyika DODOMA kukibadili jina Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na kukiita Jakaya Kikwete University

Akisoma ujumbe ambao bila shaka amepewa na Kikwete mwenyewe, Kimbisa amesema yeye ni tarishi na hayo anayosoma ni mapendekezo ya watu fulani ambao hakuwataja.

Source: Taarifa ya habari Channel Ten
 
Nimesikiliza Channel Ten eti CCM wanapendekeza UDOM iitwe Kikwete University. Hii si ni dharau kwa Tasinia ya Elimu nchini? Sasa nimeamini maneno ya Karume kuwa ndani ya vikao vyao kuna watu wana akili za samaki.
 
Nimeisikia hiyo habari nikapata kichefuchefu ghafla!
 
Katika hali inayodhihirisha kuwa kuna binadamu walizaliwa bila haya, aliyewahi kuwa Meya wa jiji la DSM Abbas Kimbisa, ametoa pendekezo kwenye kikao cha CCM kinachofanyika DODOMA kukibadili jina Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na kukiita Jakaya Kikwete University

Akisoma ujumbe ambao bila shaka amepewa na Kikwete mwenyewe, Kimbisa amesema yeye ni tarishi na hayo anayosoma ni mapendekezo ya watu fulani ambao hakuwataja.

Source: Taarifa ya habari Channel Ten
Kuna ubaya gani Au lipi la ajabu, Kwani haijatokea hapa duniani. SOKOINE N.K.
 
Nimesikiliza Channel Ten eti CCM wanapendekeza UDOM iitwe Kikwete University. Hii si ni dharau kwa Tasinia ya Elimu nchini? Sasa nimeamini maneno ya Karume kuwa ndani ya vikao vyao kuna watu wana akili za samaki.

Mkuu, sio kwamba ni ule mchezo wa "Rafki angu eeh, twende pale tukazuge halafu watu wakiuliza nani anafaa kuwa mwenyekiti we ntaje mimi, nitajifanya kukataa lkn wewe sisitiza"?
 
Katika hali inayodhihirisha kuwa kuna binadamu walizaliwa bila haya, aliyewahi kuwa Meya wa jiji la DSM Abbas Kimbisa, ametoa pendekezo kwenye kikao cha CCM kinachofanyika DODOMA kukibadili jina Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na kukiita Jakaya Kikwete University

Akisoma ujumbe ambao bila shaka amepewa na Kikwete mwenyewe, Kimbisa amesema yeye ni tarishi na hayo anayosoma ni mapendekezo ya watu fulani ambao hakuwataja.

Source: Taarifa ya habari Channel Ten

hakuna ubaya.....anastahili heshima hio
 
Haya bana................UDOM wengine wanasema ibadilishwe jina iitwe YEBOYEBO University
 
Mkuu, sio kwamba ni ule mchezo wa "Rafki angu eeh, twende pale tukazuge halafu watu wakiuliza nani anafaa kuwa mwenyekiti we ntaje mimi, nitajifanya kukataa lkn wewe sisitiza"?
Yaani ayafanyayo huyu jamaa ni aibu tupu.Majina ya vitu mbalimbali eg Nyerere road,Sokoine University nk yalitolewa miaka kadhaa baada ya wahusika kutoka madarakani na heshima hiyo kupewa na wengine baada ya kutathimini michango ya wahusika. Sasa huyu jamaa anajipa mwenyewe heshima asiyostahili. Na kwa vile wife & son ni wajumbe wa vikao hivyo basi walipiga vigelegele. Akili ya samaki kuongoza akili za watu!
 
kwa lipi linalohusiana na chuo hicho?

Ni ccm wa kuamua hilo?
chuo kikuu dodoma ni moja kati ya mambo makuu ya maendeleo aliyo yafanya jk ni jitihada binafsi na ushauri wake ali usimamia kwa karibu sana mpaka chuo kile kikaanza kusomesha vijana wa kitanzania....ni chuo ambacho hakimo katika bajesti za serikali
anastahili heshima hio.....
 
Kwani si jina tu linaimpact gani katika credibility ya chuo, hata wakitaka kukiita Mwingulu Nchemba au Steven Wassira University poa tu!
 
Kwa nini asi suggest jina hilo mapema kuliko kama anavyotaka kufanya saizi.

Hizo kweli ni akili za samaki.
 
chuo kikuu dodoma ni moja kati ya mambo makuu ya maendeleo aliyo yafanya jk ni jitihada binafsi na ushauri wake ali usimamia kwa karibu sana mpaka chuo kile kikaanza kusomesha vijana wa kitanzania....ni chuo ambacho hakimo katika bajesti za serikali
anastahili heshima hio.....

Hapo kwenye bold ndio hasa alipopaswa kuwa na aibu. Ni sawa na hili la katiba mpya, ooh Rais ameamua kuleta mabadiliko blah blah blah...tutamkumbuka kwa hilo blah blah blah.. wakati hiyo ilikuwa ni sehemu ya Ilani ya CHADEMA na yeye alizidiwa tu na shinikizo.

Sasa hili la UDOM nacho ni kichekesho kingine kutoka kwako, eti WAZO BINAFSI, hivi wewe umekuja leo Tanzania?

Heshima haiombwi bwana, kama anastahili mbona itakuwa tu haina haja ya kulazimisha kama wanavyofanya! Na hilo halikuwa suala la kuzungumzwa na CCM, kile sio chuo cha CCM ni cha UMMA. Na lile wazo halikuwa lake, ni vile hujui..
 
JK hana hadhi hiyo. Labda kile cha bagamoyo ndiyo kiitwe JK university, Lakini UDOM iendelee kujulikana kama UDOM
 
Si waanze na hii SHULE hapa waipe jina la Mtu yeyote wa CCM wanayemtaka. Kwa mfano MWIGULU NCHEMBA Primary School, Makamba PS, Pinda PS, JAh-Kaya Primary School, Salma Shule ya Msingi, Shule ya vidudu Abbas Kimbisa, etc.

ya+bwatta.jpg
 
Kwani si jina tu linaimpact gani katika credibility ya chuo, hata wakitaka kukiita Mwingulu Nchemba au Steven Wassira University poa tu!

Kama JK ameshindwa kuandika jina lake kwenye mioyo ya Watanzania, basi wala haitasidia kuandika kwenye majengo ya serikali kwa mgongo wa CCM
 
Back
Top Bottom