Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Ni vizuri kwa sasa kufanya hivyo,kwani si vema kumpatia jina hilo akiwa hayupo duniani.kiukweli ni busara kufanya hivyo ingawa inaweza kudidimiza jina la dodoma kama makao makuu ya nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katika hali inayodhihirisha kuwa kuna binadamu walizaliwa bila haya, aliyewahi kuwa Meya wa jiji la DSM Abbas Kimbisa, ametoa pendekezo kwenye kikao cha CCM kinachofanyika DODOMA kukibadili jina Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na kukiita Jakaya Kikwete University
Akisoma ujumbe ambao bila shaka amepewa na Kikwete mwenyewe, Kimbisa amesema yeye ni tarishi na hayo anayosoma ni mapendekezo ya watu fulani ambao hakuwataja.
Source: Taarifa ya habari Channel Ten
fedha sio muhimu ...muhimu ni fikra na kuona mbali..na mawazo ya maendeleo...na sio porojo tu ..za kisiasa..amefanya ambayo wengine wamekaa miaka 29 hawakuweza kufanya mfano wa hili...kwa lipi alilolifanya mkuu??? udom imetengenezwa kwa fedha ya ccm au wananchi na wadau mbali mbali??? au ndo umetumwa?? tumia kichwa kufiria na sio mak*****o!!!
kijana acha kuzunguka mbuyu...bila fedha hiyo udom ingetokeaje??? infact hata kama alitoa wazo(japo siamini) niya kwake au yalikuwepo hata kabla yake??? amejitahidi kwaudhaifu wake...ila siwezi mpongeza kwa hili la udom kamwe ntajipongeza mimi na wananchi wengine kama walipa kodi wa nchi hii bila kuwasahau wadua waliowezesha pia kuisimamisha udom!!!fedha sio muhimu ...muhimu ni fikra na kuona mbali..na mawazo ya maendeleo...na sio porojo tu ..za kisiasa..amefanya ambayo wengine wamekaa miaka 29 hawakuweza kufanya mfano wa hili...
tumchukie kwa msimamo wake kisiasa lakini sio kumchukia hata kwa mema anayo fanya kwa nchi yake...yeye hakika ni mzalendo wa kweli kwa nchi yake tukitaka tusitake..
mimi sio ccm wala cdm na infact i dont belong to any chama .....naamini katika mawazo huru .kukosoa penye kuhutaji ..na kusifu kama panahitaji sifa...
hili ndo li tanzania bwana.....linchi letu...Waswahili bwana, kuhangaika na kujikweza binafsi tu hamna kitu. Kuna sheria kule Italia inayosema hakuna ruhusa kupendekeza kubatiza any public institution or place jina la mtu binafsi isipokuwa tu kama miaka kumi (10) imepita tangu kifo cha mtu huyo. Hilo ndio lilikuwa jibu la serikali wakati watu wa Napoli walipopendekea uwanja wa mpira wa Napoli uitwe Diego Maradona ili kuuenzi mchango wake katika klabu ya Napoli. Wakaambiwa sio tu wasubiri mpaka Diego afe, ila akishakufa wasubiri ipite miaka kumi ndio walete pendekezo hilo. Na ndio ilivyo ktk nchi zilizoendelea, mtu huenziwa baada ya kufa sio jitu liko hai jengo sio lake binafsi kisha eti linaitwa kwa jina lake - Benjamin William Mkapa Towers my foot!
fedha sio muhimu ...muhimu ni fikra na kuona mbali..na mawazo ya maendeleo...na sio porojo tu ..za kisiasa..amefanya ambayo wengine wamekaa miaka 29 hawakuweza kufanya mfano wa hili...
tumchukie kwa msimamo wake kisiasa lakini sio kumchukia hata kwa mema anayo fanya kwa nchi yake...yeye hakika ni mzalendo wa kweli kwa nchi yake tukitaka tusitake..
mimi sio ccm wala cdm na infact i dont belong to any chama .....naamini katika mawazo huru .kukosoa penye kuhutaji ..na kusifu kama panahitaji sifa...
kwa lipi alilolifanya mkuu??? udom imetengenezwa kwa fedha ya ccm au wananchi na wadau mbali mbali??? au ndo umetumwa?? tumia kichwa kufiria na sio mak*****o!!!
sio kweli hata kidogo , hauko upto date na data zako....UDOM imeanza kujengwa mara baada ya uchaguzi wa 2005 na katika uchaguzi huo Chadema walimsimamisha Mbowe na alipata kura 5% akiwa nyuma ya Lipumba wa CUF aleyapata 12%.Na if that is the case, nakukumbusha kuwa UDOM halikuwa wazo lake...CHADEMA iliahidi kuwa ikiingia madarakani yale majengo ya chuo cha madini cha Dodoma ambayo by then yalikuwa yametelekezwa, watayakarabati na kufungua chuo pale. Wazee wa kukopi ndio wakapata akili na kuchukua ujiko.....nampongeza kwa kutumia vyema akili za watu wengine lkn suala la jina ni uharibifu wa mantiki.
Mara ngapi amepanda miti, mbona yote isipewe jina lake
Kuna ubaya gani Au lipi la ajabu, Kwani haijatokea hapa duniani. SOKOINE N.K.
Baada ya kutumia hela za wastaafu??chuo kikuu dodoma ni moja kati ya mambo makuu ya maendeleo aliyo yafanya jk ni jitihada binafsi na ushauri wake ali usimamia kwa karibu sana mpaka chuo kile kikaanza kusomesha vijana wa kitanzania....ni chuo ambacho hakimo katika bajesti za serikali
anastahili heshima hio.....
sio kweli hata kidogo , hauko upto date na data zako....UDOM imeanza kujengwa mara baada ya uchaguzi wa 2005 na katika uchaguzi huo Chadema walimsimamisha Mbowe na alipata kura 5% akiwa nyuma ya Lipumba wa CUF aleyapata 12%.
chadema waliingiauchaguzi bila dira wala sera ya maana...walikua hawajulikani na watanzania...mbali ya nafasi za wabunge ambazo mara nyingi wagombea wake walitoka ccm..
haikuwemo katika sera ya cdm ...na kikwete aliliweka wazi hili katika kampeni yake pale dodoma kwamba atajenga UDOM
Kuna ubaya gani Au lipi la ajabu, Kwani haijatokea hapa duniani. SOKOINE N.K.
hakuna ubaya wa aina yeyote ktk ilo mbona kuna vyuo vimepewa majina ya viongozi wetu kama mwalimu nyerere memory maarufu kama magogoni na sokoine university(S.U.A) me naona itakua poa sana ikiwa ivyo...wana wa jf acheni majungu ktk ilo