CCM: Chuo cha Dodoma kiitwe JK University

Ni vizuri kwa sasa kufanya hivyo,kwani si vema kumpatia jina hilo akiwa hayupo duniani.kiukweli ni busara kufanya hivyo ingawa inaweza kudidimiza jina la dodoma kama makao makuu ya nchi.
 
Katika hali inayodhihirisha kuwa kuna binadamu walizaliwa bila haya, aliyewahi kuwa Meya wa jiji la DSM Abbas Kimbisa, ametoa pendekezo kwenye kikao cha CCM kinachofanyika DODOMA kukibadili jina Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na kukiita Jakaya Kikwete University

Akisoma ujumbe ambao bila shaka amepewa na Kikwete mwenyewe, Kimbisa amesema yeye ni tarishi na hayo anayosoma ni mapendekezo ya watu fulani ambao hakuwataja.

Source: Taarifa ya habari Channel Ten

Kile cha Morogoro vipi? Redio Iman na lile gazeti la al nuur yamesikia hili? Lazima ipinge kwa nguvu kwa kupendekeza kwenye chuo chenye watu mchcnganyiko.
 
Waswahili bwana, kuhangaika na kujikweza binafsi tu hamna kitu. Kuna sheria kule Italia inayosema hakuna ruhusa kupendekeza kubatiza any public institution or place jina la mtu binafsi isipokuwa tu kama miaka kumi (10) imepita tangu kifo cha mtu huyo. Hilo ndio lilikuwa jibu la serikali wakati watu wa Napoli walipopendekea uwanja wa mpira wa Napoli uitwe Diego Maradona ili kuuenzi mchango wake katika klabu ya Napoli. Wakaambiwa sio tu wasubiri mpaka Diego afe, ila akishakufa wasubiri ipite miaka kumi ndio walete pendekezo hilo. Na ndio ilivyo ktk nchi zilizoendelea, mtu huenziwa baada ya kufa sio jitu liko hai jengo sio lake binafsi kisha eti linaitwa kwa jina lake - Benjamin William Mkapa Towers my foot!
 
kwa lipi alilolifanya mkuu??? udom imetengenezwa kwa fedha ya ccm au wananchi na wadau mbali mbali??? au ndo umetumwa?? tumia kichwa kufiria na sio mak*****o!!!
fedha sio muhimu ...muhimu ni fikra na kuona mbali..na mawazo ya maendeleo...na sio porojo tu ..za kisiasa..amefanya ambayo wengine wamekaa miaka 29 hawakuweza kufanya mfano wa hili...
tumchukie kwa msimamo wake kisiasa lakini sio kumchukia hata kwa mema anayo fanya kwa nchi yake...yeye hakika ni mzalendo wa kweli kwa nchi yake tukitaka tusitake..
mimi sio ccm wala cdm na infact i dont belong to any chama .....naamini katika mawazo huru .kukosoa penye kuhutaji ..na kusifu kama panahitaji sifa...
 
kijana acha kuzunguka mbuyu...bila fedha hiyo udom ingetokeaje??? infact hata kama alitoa wazo(japo siamini) niya kwake au yalikuwepo hata kabla yake??? amejitahidi kwaudhaifu wake...ila siwezi mpongeza kwa hili la udom kamwe ntajipongeza mimi na wananchi wengine kama walipa kodi wa nchi hii bila kuwasahau wadua waliowezesha pia kuisimamisha udom!!!
 
Waswahili bwana, kuhangaika na kujikweza binafsi tu hamna kitu. Kuna sheria kule Italia inayosema hakuna ruhusa kupendekeza kubatiza any public institution or place jina la mtu binafsi isipokuwa tu kama miaka kumi (10) imepita tangu kifo cha mtu huyo. Hilo ndio lilikuwa jibu la serikali wakati watu wa Napoli walipopendekea uwanja wa mpira wa Napoli uitwe Diego Maradona ili kuuenzi mchango wake katika klabu ya Napoli. Wakaambiwa sio tu wasubiri mpaka Diego afe, ila akishakufa wasubiri ipite miaka kumi ndio walete pendekezo hilo. Na ndio ilivyo ktk nchi zilizoendelea, mtu huenziwa baada ya kufa sio jitu liko hai jengo sio lake binafsi kisha eti linaitwa kwa jina lake - Benjamin William Mkapa Towers my foot!
hili ndo li tanzania bwana.....linchi letu...
 
Kitu hakilazimishwi jina bwana, juzi tu hapa imekuja Treni ngalangala, tayari watu wameibatiza Ya Mwakyembe, hiyo ni dalili kuwa Mwakyembe amejiandika mioyoni mwa watu lkn huu utaratibu wa kufikiri kwa kutumia chama ni janga la kitaifa.
 
fedha sio muhimu ...muhimu ni fikra na kuona mbali..na mawazo ya maendeleo...na sio porojo tu ..za kisiasa..amefanya ambayo wengine wamekaa miaka 29 hawakuweza kufanya mfano wa hili...
tumchukie kwa msimamo wake kisiasa lakini sio kumchukia hata kwa mema anayo fanya kwa nchi yake...yeye hakika ni mzalendo wa kweli kwa nchi yake tukitaka tusitake..
mimi sio ccm wala cdm na infact i dont belong to any chama .....naamini katika mawazo huru .kukosoa penye kuhutaji ..na kusifu kama panahitaji sifa...

Na if that is the case, nakukumbusha kuwa UDOM halikuwa wazo lake...CHADEMA iliahidi kuwa ikiingia madarakani yale majengo ya chuo cha madini cha Dodoma ambayo by then yalikuwa yametelekezwa, watayakarabati na kufungua chuo pale. Wazee wa kukopi ndio wakapata akili na kuchukua ujiko.....nampongeza kwa kutumia vyema akili za watu wengine lkn suala la jina ni uharibifu wa mantiki.

Mara ngapi amepanda miti, mbona yote isipewe jina lake
 
Alietoa wazo anajikomba.. Yaani kuna mtaa unaitwa Makamba.. Na Shule vile vile inaitwa Makamba.. Najiuliza amefanya lipi la kustahili cijaona..!
 
kwa lipi alilolifanya mkuu??? udom imetengenezwa kwa fedha ya ccm au wananchi na wadau mbali mbali??? au ndo umetumwa?? tumia kichwa kufiria na sio mak*****o!!!

mbona dalali aliyekuwa IKULU mh. Mkaa hapa alijipa jina la daraja la rufiji kuwa daraja la Mkaa hapa kweli nchi hii hahahaaaaaaaaaa.
 
Na if that is the case, nakukumbusha kuwa UDOM halikuwa wazo lake...CHADEMA iliahidi kuwa ikiingia madarakani yale majengo ya chuo cha madini cha Dodoma ambayo by then yalikuwa yametelekezwa, watayakarabati na kufungua chuo pale. Wazee wa kukopi ndio wakapata akili na kuchukua ujiko.....nampongeza kwa kutumia vyema akili za watu wengine lkn suala la jina ni uharibifu wa mantiki.

Mara ngapi amepanda miti, mbona yote isipewe jina lake
sio kweli hata kidogo , hauko upto date na data zako....UDOM imeanza kujengwa mara baada ya uchaguzi wa 2005 na katika uchaguzi huo Chadema walimsimamisha Mbowe na alipata kura 5% akiwa nyuma ya Lipumba wa CUF aleyapata 12%.
chadema waliingia uchaguzi bila dira wala
sera ya maana...walikua hawajulikani na watanzania...mbali ya nafasi za wabunge ambazo mara nyingi wagombea wake walitoka ccm..
haikuwemo katika sera ya cdm ...na kikwete aliliweka wazi hili katika kampeni yake pale dodoma kwamba atajenga UDOM
 
Kuna ubaya gani Au lipi la ajabu, Kwani haijatokea hapa duniani. SOKOINE N.K.

itabidi asubiri afe kama sokoine ndo kiitwe hvo. Bora kiitwe mkapa au lowasa kuliko huyo baba rizim! Nasoma kikwete university...teh, wala haisound vizuri! Labda mabweni yetu yaitwe majina yake, naishi kikwete 2! Teh! Wala haisound poa, mjina wake unaleta ukakasi mdomoni km yeye mwenyewe alivyo ukakasi hapa nchini! Fyuu!
 
chuo kikuu dodoma ni moja kati ya mambo makuu ya maendeleo aliyo yafanya jk ni jitihada binafsi na ushauri wake ali usimamia kwa karibu sana mpaka chuo kile kikaanza kusomesha vijana wa kitanzania....ni chuo ambacho hakimo katika bajesti za serikali
anastahili heshima hio.....
Baada ya kutumia hela za wastaafu??
 
sio kweli hata kidogo , hauko upto date na data zako....UDOM imeanza kujengwa mara baada ya uchaguzi wa 2005 na katika uchaguzi huo Chadema walimsimamisha Mbowe na alipata kura 5% akiwa nyuma ya Lipumba wa CUF aleyapata 12%.
chadema waliingiauchaguzi bila dira wala
sera ya maana...walikua hawajulikani na watanzania...mbali ya nafasi za wabunge ambazo mara nyingi wagombea wake walitoka ccm..
haikuwemo katika sera ya cdm ...na kikwete aliliweka wazi hili katika kampeni yake pale dodoma kwamba atajenga UDOM

Akili alizosema Karume wa UAMSHO.

Kwani mimi nilikwambia ni uchaguzi upi?
 
Kuna ubaya gani Au lipi la ajabu, Kwani haijatokea hapa duniani. SOKOINE N.K.

hakuna ubaya wa aina yeyote ktk ilo mbona kuna vyuo vimepewa majina ya viongozi wetu kama mwalimu nyerere memory maarufu kama magogoni na sokoine university(S.U.A) me naona itakua poa sana ikiwa ivyo...wana wa jf acheni majungu ktk ilo
 
On recognition na sio mtu kakaa na shemeji zake tu halafu shemeji mmoja anakurupuka ooh, shem apewe heshima ya kuitwa Mwalimu, no!
 
Back
Top Bottom