mtumishidc
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 513
- 181
Kwani jina lililopo lina ubaya gani, labda tuanzie hapo.
chuo kikuu dodoma ni moja kati ya mambo makuu ya maendeleo aliyo yafanya jk ni jitihada binafsi na ushauri wake ali usimamia kwa karibu sana mpaka chuo kile kikaanza kusomesha vijana wa kitanzania....ni chuo ambacho hakimo katika bajesti za serikali
anastahili heshima hio.....
Kama JK ameshindwa kuandika jina lake kwenye mioyo ya Watanzania, basi wala haitasidia kuandika kwenye majengo ya serikali kwa mgongo wa CCM
Cha ajabu hapa ni kuwa kwa sasa chuo tayari kinajina kwa nini tuangaike kubadili jina?Kuna ubaya gani Au lipi la ajabu, Kwani haijatokea hapa duniani. SOKOINE N.K.
Katika hali inayodhihirisha kuwa kuna binadamu walizaliwa bila haya, aliyewahi kuwa Meya wa jiji la DSM Abbas Kimbisa, ametoa pendekezo kwenye kikao cha CCM kinachofanyika DODOMA kukibadili jina Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na kukiita Jakaya Kikwete University
Akisoma ujumbe ambao bila shaka amepewa na Kikwete mwenyewe, Kimbisa amesema yeye ni tarishi na hayo anayosoma ni mapendekezo ya watu fulani ambao hakuwataja.
Source: Taarifa ya habari Channel Ten