CCM: Chuo cha Dodoma kiitwe JK University

CCM: Chuo cha Dodoma kiitwe JK University

Akili haikuto!sh,jk kalifanyia nn taifa hili?!,kwa kuchekacheka na mafisadi!hana Legacy yyte ya kulifanya taifa lmkumbuke kwa jema hata atakaposepa!yan unamkompare jk na sokoine!shame on u
 
chuo kikuu dodoma ni moja kati ya mambo makuu ya maendeleo aliyo yafanya jk ni jitihada binafsi na ushauri wake ali usimamia kwa karibu sana mpaka chuo kile kikaanza kusomesha vijana wa kitanzania....ni chuo ambacho hakimo katika bajesti za serikali
anastahili heshima hio.....

upuuz tupu kwanza chvo kimeigharimu serikal pesa nying tofaut na hadh yake kmejengwa juz tu leo majengo yanavuja......
 
hUO NI UPOPOMPO MIMI NITAHAMA CHUO WA KWANZA! BORA WANGEKIITA HATA CHUO KIKUU CHA TANZANIA:A S cry:
 
mmmh jamani ngoja na mimi mtaa wetu nikaupe jina langu sasa aisee...
 
Ifikie kipindi wawe wanatoa hela zao mfukoni, siyo kutumia kodi za wananchi kujitukuza.
 
Tatizo liko wapi wadau? Hata UDOM ingeitwa Pakashume Univ. hakuna shida. Tusiyumbishwe na majina, cha msingi ni ubora na hadhi ya elimu inayotolewa. Na kama wana CCM wameamua kubadili jina na kuwa JKU its alright. JK anastahili heshima zaidi ya hii, Watanzania tusikubali kugawanywa kwa interests za watu wasioitakia nchi yetu mema.
 
Naunga mkono hicho chuo wangekiita jina la kikwt. Mbona hakuna tatzo lolote mbn hata udsm main kampus kinaitwa nyerere, ishitoshe kikwete kakishuhulikia kinoma
 
Katika hali inayodhihirisha kuwa kuna binadamu walizaliwa bila haya, aliyewahi kuwa Meya wa jiji la DSM Abbas Kimbisa, ametoa pendekezo kwenye kikao cha CCM kinachofanyika DODOMA kukibadili jina Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na kukiita Jakaya Kikwete University

Akisoma ujumbe ambao bila shaka amepewa na Kikwete mwenyewe, Kimbisa amesema yeye ni tarishi na hayo anayosoma ni mapendekezo ya watu fulani ambao hakuwataja.

Source: Taarifa ya habari Channel Ten

Ujenzi wa chuo ,majengo yalivyo mabovu -kiubora .Pia jinsi chuo kinavyoendeshwa na yule K.Ilaza Prof K. ni bora kiitwe Jk ili kureflect udhaifu wa chuo kama mwenyewe alivyo dhaifu.
 
Hata Kenya kwa wenzetu ambao wako mbali Kielimu hawana ''KIBAKI UNIVERSITY'' sasa tumpe JK kwa yapi aliyoyafanya?Yeye abaki na ule Udokta wa heshima tuliompa TU.
 
chuo kikuu dodoma ni moja kati ya mambo makuu ya maendeleo aliyo yafanya jk ni jitihada binafsi na ushauri wake ali usimamia kwa karibu sana mpaka chuo kile kikaanza kusomesha vijana wa kitanzania....ni chuo ambacho hakimo katika bajesti za serikali
anastahili heshima hio.....

Nani kakudanganya idea ya UDOM ilianzishwa na Kikwete?
Unasahau pia ujenzi wa UDOM ni michango ya hifadhi za jamii ambapo bado kuna ugomvi mkubwa wa namna ya kuzirudisha?
Utawala wa kikwete hakuna jema kubwa analotakiwa kuenziwa jina lake (Ni ktk utawala wake amani haipotena, Wizi mkubwa wa rasilimali za nchi, Rushwa kubwa zilizokithiri, Ugumu wa maisha, Ufisadi wa mchana kweupeee, Tume lukuki zizokuwa na tija, Kudorora kwa kilimo, Hujima na Ukosefu wa nishati ya umeme) Huyu raisi anastahili akaishi magereza akishamaliza utawala wake.
 
Back
Top Bottom