Elections 2010 CCM Dar watangaza maandamano na kuahirisha ndani ya dakika 5

Elections 2010 CCM Dar watangaza maandamano na kuahirisha ndani ya dakika 5

hapo ndio hekima ya CHADEMA inapo-prevail. wao wametumia njia ya amani iliyo ndani ya katiba na kanuni za bunge kupinga matokeo ya urais lakini majinga ya CCM yanataka kufanya maandamano ya kijinga kijinga ambayo chadema hawakuhitaji kiuyafanya! ningeasapoti kama wangeandamana kupinga mfumuko wa bei!
 
Ni kawaida ya ccm kukurupuka,walijiandaa kuandamana,walipogundua kuwa wataonekana kituko na pengine kusababisha vurugu wakasitisha.taarifa kutoka ndani ya ccm zinasema kuwa vijana hao walionywa na vyombo vya usalama kuwa maandamano yao yatasabisha hasira na vurugu kutoka kwa wenye hasira na ccm ambao wanaonekana kuwa wengi zaidi na wanaunga mkono harakati za chadema
 
Hii yote itategemea na JK kama anania njema na hii nchi. Kama hana nia njema hataweza kusimamia subodinates.

TUSIJIDANGANYE WOTE TUNAFAHAMU KUWA CCM HAINA WATU WASAFI AMBAO WANAWEZA KUKABIDHIWA UWAZIRI WAKAWA WATUMISHI WA WEMA WATANZANIA PASIPO KUJINUFAISHA WAO NA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI ZAO TU!

MAENDELEO YA WATANZANIA YAKO MIKONONI MWA JK WALA TUSIANZE KUSINGIZIA WASAIDIZI WAKE.
KAMA BABA WA NYUMBA ANAJUA KUSIMAMIA FAMILIA YAKE VIZURI USTAWI WA FAMILIA HIYO NI DHAHIRI PASIPO SHAKA.

AMINI USIAMINI KAMA USIMAMIZI WA JK UTAKUWA ULEULE WA KIPINDI KILICHOISHA, TUSITEGEMEE ANY CHANGE BALI MAUMIVU TUUUUUUUUUUUUUUU>
 
Ole wao wakatize banana naondoka na kichwa cha mtu nikiwa nimeshikilia masikio. Mafisadi wakubwa
 
Damn! Yaani hapo ilikuwa mtu aseme SUU....CHADEMA walikuwa wameingia KING!!! CCM kwa hilo hamnabudi kujipongeza kwani hiyo trap mmeisoma ila kazi ndio kwanza imeamza. Kete zote za moto, soon or later mtauvaa mkenge..
 
Mi nilikuwa naombea waandamane ili waje wajutie uamuzi wao milele!
Hakika wangepata fundisho kubwa sana na wangejua mtazamo wa walio wengi uko vipi
 
Ukiona hivyo ujue kuwa kuna mtu kawanong'oneza :gossip:jambo CCM

Jamani CCM ingieni bana mtaani muandamane enh! Aiih nyiee, msighairi CCM andamaneni nasi tuandamane...

Jamani nao wanaogopa kupigwa virungu ati!:whip::whip:

Au na nyie mara hii mmeshasahau kauli ya (Sijui!!) Bregedia Jenerali Shimbo?:blah::blah:
 
Hii ni ajabu sana kwa nchi hii na wale wanaojikomba kwa chama tawala. MBONA WATU HAWAANGALII CHANZO CHA HAYA YOTE?
 
hahaha! Mimi niliona kituko hicho jana channel 10. Du! naona sisim wameanza kupanic!!!!:whoo:
 
ajabu ni kuwa walikuwa wamepanga kufanya maandamano temeke mwember yanga wakishirikiana na cuf......huo ndio ukweli.........na nadhani magazeti ya kesho yataibeba hii habari maana ni ya kuvutia ,,,,,.................
ni wazi yangezua vurugu kwani cuf[bara] temeke hawafaidiki na ushirikiano wa cuf na ccm....ingeibua mgogoro ndani ya cuf.....na zaidi ingeamsha hasira za wananchi ambao nao wangetaka kufanya maandamano ya kuiunga mkono chadema
 
Hapo ndipo wangejua kama dawa ya moto ni maji au moto wenyewe.
 
Jamani kwa nini tuhofie Machafuko? Si CCM ndiyo wameyalea na kulifikisha fukuto hapo lilipo? Tamaa ya madaraka na upofu unawafanya kila mmoja wao atoe kauli kali huku wakisahau kuwa kila Mtanzania anaangalia kwa makini kurukwa akili huku kwa hawa Wana CCM.

MImi ningewashawishi waende awaandamane nchi nzima kukipinga kitendo cha Chadema kutoka nje ya Bunge na kisha Polisi watoe ruhusa sawa kwa Chadema kuandamana kupinga matokeo ya Urais.
 
Waache wandamane wana nguvu za ziada (excess energy) laiti wangeitumia kujiboreshea maisha
 
Tuwaache CCM Waandamane na Wakimaliza Maandamano Yao Tutawapa Majibu Yao. Tunataka Sana Kufanya Maandamano na Tunasubiri Usalama wa Taifa Watoe OK kwa CCM Kuandamana. Tunakaribisha CCM Katika Kujisikia Vibaya kwa Kitendo cha Chadema.
 
CCM; Wana akili nyingi na ufahamu mdogo kama wa **!

Kile CHADEMA walichojaribu kukikwepa kwa ajili ya amani ya Taifa wao wanataka kukifanya...

Waendelee wasonge mbele wakifanye ... wataeleimika zaidi kama njia ya kawaida zimeshindwa kuwaelimisha!!
 
Back
Top Bottom