Mi sidhani kama CCM wapo Serious na Maendeleo ya Nchi hii ya Tanzania, Kwasababu wamemnunua Maalim seif Zanzibar, wamewanunua CUF nao bila kujijua, Mi nimeshangaa sana Maalim nae anasema eti anailaani ile Tabia walio ifanya CHADEMA,, anasahau yeye amesababisha Watanzania kule Zanzibar Kufa uchaguzi wa 2005, na wengine wamefungwa hadi leo hii, ni kwasababu ya Maandamano yao ambayo yeye ndiye aliyainiciate,,
Na hawa CCM kwani hawajui wanacho dai Chadema? kama wanabusara kwanini wasiwaite na kukaa nao mezani ili wanegociate madai yote kwa kufanya haki inayo tafutwa? Kwani chadema nao siwatanzania? hakuna kitu kinachofanywa na Chadema kwa kukurupuka, kila kitu hufanyiwa assesment na wanasheria na wasomi alioko chamani na kufanyiwa kazi hawakurupuka kama wafanyavyo CCM, munatangaza maandamano bila kukaa chini na kujua effects za maandamano,, kisha bila aibu munahailisha ndani ya sekunde
Sasa huu si upuzi huu jamani? acheni ushabiki wa Vyama wa kijinga bwana
CCM Ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,,, Chadema Peeeeeooopleeeeeee .......................................