CCM: Dharura Kamati Kuu & NEC, Kuna Nini Huko?

- According to the dataz nilizozinasa sasa hivi, ni kwamba Mwenyekiti wa CCM taifa ameitisha vikao vya dharura, yaani Kamati Kuu ya CCM Tarehe 28/3/10 na kingine cha NEC Tarehe 8/4/10 na kwamba ameamuru vikao vyote vifanyike Dar, Karimjee Hall
  • Watanzania kwa kushabikia ujinga, tumevunja rekodi.
  • Mtu amekaa madarakani miaka mitano.
  • Katika hiyo miaka mitano ameitisha vikao 18 vya dharura.
  • Katika hivyo vikao 18 vya dharura hakuna jambo la dharura hata moja lililoamuliwa.
  • Leo bila hata aibu twajadili kikao kingine kinachopikwa kwa kasi, ari na nguvu mpya
  • Na JF kama kawaida inatumiwa kuendeleza huu usanii kwa kuupamba na kuupa uzito !
  • Tutaendelea kudanganywa hadi lini - kama huu si ujinga wetu, ni nini.
 
Point!
 
Habari zilizopatikana jioni hii ni kuwa, kweli kaitisha vikao hivyo, LAKINI ni vya kuandaa na kushiriki Harambee yake ya kukusanya fedha za kampeini.Mkakati ni kufanya harambee ili kuharalisha fedha zilizoibwa kupitia stimulus package na wizi wa mabenki hivi karibuni. Kwa hiyo ni mkakati wa harambee huo.
 
wakati nakosoa ile sheria ya gharama za uchaguzi nilisema mojawao ya vitu ambavyo tutashuhudia ni kuchangia zaidi kabla ya ile sheria kuanza kuuma; kwa hiyo kampeni ya kuchangia chama itaanza mara moja sasa hivi..
 
Hii nchi kweli imelaaniwa. JK anaitisha mkutano ujinga mtupu huyu ni rais ambaye lazima atakwenda jela wakati wake ukifika. Kama angekuwa mtekelezaji asingeita mkutano angewafukuza kazi mafisadi na kwenda mbele kulitumikia taifa linalomlipa. Matokeo yake anawaita waendelee kutafuna fweza za walipa kodi.

Mkwere mbabaishaji na mwenye maneno kama sukari baada ya huo mkutano ndio imetoka hiyo. Sijui ilikuwaje awahadae mamillioni ya WTZ kumpa kura wakati historia yake yote ya ufanyaji kazi ilikuwa wazi. Lazima mwaka huu Watanzania waamue kusuka ama kunyoa lakini kwa mwendo huu wa Jakaya tumeliwa big time. WHY?

Angalia ahadi zake nyingi ni za Pwagu na Pwaguzi kuanzia wauza unga , kubadili mikataba ya madini et al. Huyu ni moja ya wale mahayawani.

Tafadhali ndugu yangu "mind your language"
 
wakati nakosoa ile sheria ya gharama za uchaguzi nilisema mojawao ya vitu ambavyo tutashuhudia ni kuchangia zaidi kabla ya ile sheria kuanza kuuma; kwa hiyo kampeni ya kuchangia chama itaanza mara moja sasa hivi..

Siamini kama wana upeo mfupi namna hiyo kama unavyotaka tuamini.Hata kama ni mafisadi bado siamini kama upeo wao ndo hivo.
 
Habari zilizopatikana jioni hii ni kuwa, kweli kaitisha vikao hivyo, LAKINI ni vya kuandaa na kushiriki Harambee yake ya kukusanya fedha za kampeini.Mkakati ni kufanya harambee ili kuharalisha fedha zilizoibwa kupitia stimulus package na wizi wa mabenki hivi karibuni. Kwa hiyo ni mkakati wa harambee huo.

Swadkta, hapa ndiyo tunaelekea kunako.

JK amekuwa anakutana Lumumba na akina Msekwa, Makamba, etc. Si rahisi apange mkakati wa kumuibua Makamba na naibu wake takribani miezi 2 kabla ya uteuzi na miezi 6 kabla ya uchaguzi, halafu bado anakutana na watu hao hao.

Pia JK hawezi kumtoa Makamba amuache Msekwa wakati hawa wawili wote ni product ya CCM machinery ya RA na ENL. Msekwa bado hadi sasa anakutana mara kwa mara na RA, kama ni urafiki au business hatuwezi kujua.

Ambacho kinazungumzwa na kidogo kina make sense ni kuwa JK anapata wakati mgumu sana sasa wa ku-raise funds kwa ajili ya kampeni zake bila kutumia campaign machine ya akina RA, ENL, Nchimbi, Sitta, Sumari, Wassira, etc (Mtandao Asilia) na vitoto vya Mtandao akina Masha, Ngeleja, Malima, Serukamba, Sophia, etc. Tatizo kubwa alilonalo JK ni control ya hiyo campaign machine. Hakuwa na control back then, na hana control sasa.

Kama ilivyokuwa Butiama, tusitegemee wala kufikiria makubwa hiyo kesho kutwa. Ni JK being JK, doing what JK does, kufurahisha wote ili apate ushirikiano wa wachache.
 
kaazi kwelikweli, HIVI JESHI LIPO KWELI, HII NCHI NADHANI SASA HIPO TAYARI KUCHUKULIWA NA JESHI
 
Wewe teh teh teh
Jeshi lichukuwe nchi? unafurahisha kweli, ubabe wao ule na ukichanganya na ufisadi wao kwisha kazi.Wanajeshi ndo mafisadi .Mhhhhhh wapeni kiburi mje muone cha mtemakuni
 
  • Watanzania kwa kushabikia ujinga, tumevunja rekodi.
  • Mtu amekaa madarakani miaka mitano.
  • Katika hiyo miaka mitano ameitisha vikao 18 vya dharura.
  • Katika hivyo vikao 18 vya dharura hakuna jambo la dharura hata moja lililoamuliwa.

- Mnyonge mnyongeni, katika hizo dharura 18, Lowassa, Msabaha, Karamagi, wameachia ngazi, Yona, Mramba, Mgonja, wameulamba rumande, EPA kiduchu wamefika kwenye sheria, Balali amefukuzwa kazi kwa hiyo mkuu si kweli kwamba hakuna dharura iliyoamuliwa, zipo ila tu bado inaelekea hazijakizdhi mahitaji yako, huu ni uwanja wa Great Thinkers tujifunze kukubali ukweli inapobidi sio uwanja wa kulia lia tu mpaka saa ya kulala na kusubiri kesho kulia lia tuuu!

Leo bila hata aibu twajadili kikao kingine kinachopikwa kwa kasi, ari na nguvu mpya
Na JF kama kawaida inatumiwa kuendeleza huu usanii kwa kuupamba na kuupa uzito !
Tutaendelea kudanganywa hadi lini - kama huu si ujinga wetu, ni nini.
- Hapa mkuu ni wewe ndiye unayejaribu kutudanganya, dharura zimetokea na kuna dharura ziliaamuliwa huenda hazikuwa kama tunavyoataka ziwe lakini kuna dharura zilizoaamuliwa na JK kwa manufaa ya taifa na tumeziona labda wewe tu hukuziona, na wala sio ajabu sana maana inaeleweka! wote hapa ni watuwazima sema huridhiki na yaliyokwisha amuliwa lakini huwezi kusema hakuna yaliyoamuliwa, that is abig lie!

- Kwani awamu ya kwanza iliyotuwekea muongozo kuna dharura gani iliyoamuliwa zaidi ya kutupeleka kwenye vita vya kumrudisha rafiki na mpaka leo tunalipa madeni ya ajabu sana, I mean hii pathetic leading na hili taifa haikuanza leo mkuu, tulikuwepo sana ilipoanza! It does not matter kwamba tuna utawala uliochaguliwa na wananchi ambao ni dhaifu, kuzijadili events muhimu za siasa zetu ni wajibu wetu, na infact hawa kina JK na Mrema ndio what we have, sasa hatuwezi kufukuza hewa kwa kujadili tusichokuwa nacho!

- Anyways, wakuu wote JF ninataka kuwafahamisha kwamba nimekutwa na udhuru wa ghafla kwa hiyo sitakuwepo kwa muda kuanzia leo usiku, mpaka nitakaporudi ninawatakia heri na mijadala saafi mpaka tutakapokutana tena soon na wembe ule ule na long live JF where we dare!

Respect.

FMEs!
 
Inanikumbusha wakati wa dharura ya kuhutubia bunge, mengi yalisemwa.

Mambo yote makubwa na yanayosubiri kuchukuliwa hatua kazi ilishafanyika sasa Lumumba mpaka saa tano usiku anafanya nini? Inawezekana anapanga makatibu wa ccm wilaya na mkoa. Otherwise hakuna lolote lile kwa manufaa ya taifa.[
 
I bet there is something new coming before october. Trend analysis is not always the best indicator
 
Sheria ya uchaguzi haimtishi mtu yeyote katika wanaopanga au waliopanga kuivunja. Wataivunja tu tena mchana kweupe na hakuna atakayewatisha. Kuna sheria ngapi hazitekelezwi na hakuna anayewajibishwa kwa lolote.

Pengine kitu kibaya kabisa katika nchi hii ni huku kufa kwa mfumo wa sheria. Of course haya ni madhara ya uongozi dhaifu na hohe hahe, dhooflhali na goigoi. Angalia sheria za biashara zinazosema biashara kwa mfano za maduka inatakiwa zifanyikeje, halafu angalia kinachotokea huko mitaani. Utasema hakuna serikali, kama ipo si serikali inayosimamia au ku "enforce sheria". Ndo maana nasema viongozi wa nchi hii ambao ni CCM hawana wanachokiamini.

Kwa hiyo sheria ya uchaguzi haiwezi kuwa agenda, labda tu kama wamethibitisha kuwa madai ya Dr. Slaa ni ya kweli basi hapo inaweza kuwa mjadala wa kufanya damage control. Lakini tumeshaona maeneo mengi ambapo rais wa nchi amedhalilishwa na hakuna kilichotokea baadaye (Ufunguzi wa Hotel, Kashfa ya magari - Mwenyew alisema hii sasa kashfa).

Vile vile tujue kuwa hii sheria ya uchaguzi haina maana yoyote katika nchi ambayo sheria haziheshimiwi. Tunajaribu kuingiza fiscal disclipline katika uchaguzi. Lakini nchi yetu hakuna mahali popote unapoweza kuona fiscal discipline, responsibility na accountability. Hakuna. Nchi hii bado kuna biashara nyingi ambazo zinafanyika mchana kweupe lakini tunaambiwa ni biashara zisizo rasmi, kwa maana kuwa haziguswi na sheria yoyote, hazilipiwi kodi na hazina masharti yoyote. Ni nchi ambayo mtu anaweza akaenda popote akakuta ardhi iko wazi, akaanza kujenga nyumba hadi anamaliza hakuna anayemuuliza. Sheria ya ujenzi inataka kuwe na vibari au permit za kujenga, angalia mitaani kati ya nyumba mia zinazojengwa ni 3 au 5 tu zenye vibali.

Ukienda kila mahali utaona kuwa hakuna sheria inayotekelezwa, labda tu zile zinazohakikisha kuwa uongozi wa nchi unaendelea kuwepo.

Ninashangaa sana tunapoizungumzia sheria ya uchaguzi kama vile yenyewe ni sheria tofauti na zile za TAKUKURU, BIASHARA, N.K.
 
Mijitu mijinga imejazana mno Tanzania, hata tukisema tuwe na misimamo thabiti tutakuwa wangapi? achilia mbali ujinga, kuna wanaobeba dhiki na viroba, ndiyo maana ukaambiwa masikini hana mkataba, tonge moja la ugali tu linamgeuza, dawa ni kubeba mipini tuwapunguze kwanza, kama ilivyo Rwanda,sasa hivi heshima debe
 
unaweza beba hiyo mipini lakini ama unaongea tu hapo kwenye keyboard?
 
Hakuna jipya tunapanua mjadala kwa vitu vya kufikirika kama vile jambo la ajabu sana tumeisha wazoea hawa hata kikao cha kupitisha jina la mgombea wa kujaza nafasi ilioachwa wazi na mtuhumiwa Manara inataka kuhangaisha vichwa vya watu. Tujadili matokeo sio nini watasema
 
- Mnyonge mnyongeni, katika hizo dharura 18, Lowassa, Msabaha, Karamagi, wameachia ngazi, Yona, Mramba, Mgonja, wameulamba rumande, EPA kiduchu wamefika kwenye sheria, Balali amefukuzwa kazi kwa hiyo mkuu si kweli kwamba hakuna dharura iliyoamuliwa, zipo ila tu bado inaelekea hazijakizdhi mahitaji yako, huu ni uwanja wa Great Thinkers tujifunze kukubali ukweli inapobidi sio uwanja wa kulia lia tu mpaka saa ya kulala na kusubiri kesho kulia lia tuuu!

- Hapa mkuu ni wewe ndiye unayejaribu kutudanganya, dharura zimetokea na kuna dharura ziliaamuliwa huenda hazikuwa kama tunavyoataka ziwe lakini kuna dharura zilizoaamuliwa na JK kwa manufaa ya taifa na tumeziona labda wewe tu hukuziona, na wala sio ajabu sana maana inaeleweka! wote hapa ni watuwazima sema huridhiki na yaliyokwisha amuliwa lakini huwezi kusema hakuna yaliyoamuliwa, that is abig lie!

- Kwani awamu ya kwanza iliyotuwekea muongozo kuna dharura gani iliyoamuliwa zaidi ya kutupeleka kwenye vita vya kumrudisha rafiki na mpaka leo tunalipa madeni ya ajabu sana, I mean hii pathetic leading na hili taifa haikuanza leo mkuu, tulikuwepo sana ilipoanza! It does not matter kwamba tuna utawala uliochaguliwa na wananchi ambao ni dhaifu, kuzijadili events muhimu za siasa zetu ni wajibu wetu, na infact hawa kina JK na Mrema ndio what we have, sasa hatuwezi kufukuza hewa kwa kujadili tusichokuwa nacho!

- Anyways, wakuu wote JF ninataka kuwafahamisha kwamba nimekutwa na udhuru wa ghafla kwa hiyo sitakuwepo kwa muda kuanzia leo usiku, mpaka nitakaporudi ninawatakia heri na mijadala saafi mpaka tutakapokutana tena soon na wembe ule ule na long live JF where we dare!

Respect.

FMEs!
Hii post inaonyesha ukomavu sana.
Nimeipenda mkuu wangu, kama ungekuwa una defend paper ungepata distinction kutoka kwangu.
 
Mkuu wewe ni mwanasiasa mzuri sana katika hili jukwaa unawakilisha sana, Keep it up, and stay well , Waiting to hear from you SOON.
 
Back
Top Bottom