CCM Fahamuni kabisa: Kilichofanywa na Asha Rose Migiro ni uhaini na atakilipia

CCM Fahamuni kabisa: Kilichofanywa na Asha Rose Migiro ni uhaini na atakilipia

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
21,775
Reaction score
71,893
Famahamuni haya fika.

Mfumo wetu wa Uraisi ulioanza mwaka 1995 wa mgombea mwenza tumeuiga kutokea nchi ya Marekani, ambapo Raisi na Makamu wake wanateuliwa kwa pamoja, na wanaanza kazi siku moja. Hivyo kinga ambayo anaipata Raisi ndiyo hiyo-hiyo anaipata Makamu wake. Kitaalamu hii tunaiita Functional Immunity (From Civil & Criminal Proceedings).

Emmanuel Nchimbi, unaweza usimpende lakini analindwa na katiba kama ambavyo Raisi Samia alilindwa na Katiba mwaka 2021 wakati akiwa Makamu wa Raisi asiyekuwa anaifahamu hatma yake. Wengi hatukutaka Raisi Samia awe Raisi, lakini Kikwete na Mabeyo ndiyo walimfanya Samia akawa Raisi. Wengi hatukupinga wala kulalamika kwasababu lilifanyika kikatiba.

SASA BASI, nchini Tanzania kuna haya yafuatayo ambayo yako bayana kabisa:

MOSI, Mamlaka ya nidhani (Disciplinary Authority) ya Raisi na Makamu wake ni Bunge La Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siyo Msajili wa vyama, siyo Jaji Mkuu, siyo Jeshi na wala siyo NEC ya CCM. Makamu wa Raisi hata kama Raisi hampendi anatakiwa apeleke mashitaka kwenye chama, halafu chama wapeleke mashitaka hayo bungeni ambako wataanzisha mchakato wa kumvua nafasi makamu wa Raisi (A motion of Impeachment), ambao utaishia na azimio maalumu ya kuthibitisha kwamba makamu atolewe au asitolewe (A Resolution Confirming Impeachment).

NEC ya CCM kumvua uanachama Makamu wa Raisi Emmanuel Nchimbi, ambaye kwa barua yake amesema ataondoka kwenye nafasi yake ifikapo tarehe 4 Septemba 2026 ni UHAINI. CCM imepoka madaraka ya Bunge na kutikisa taasisi ya Uraisi.

Fahamuni fika, kwamba leo hii akifariki Raisi Samia kabla ya tarehe 4 Septemba 2026, Raisi wetu atakuwa ni Dr. Emmanuel Nchimbi na siyo mtu mwingine. Hivyo ambacho mnakifanya sasa ni uhuni utakaokuja kuwatokea puani siku siyo nyingi, maana mshajenga mfano mbaya (A Bad Precedent)

PILI, Kinga ya Raisi ndiyo kinga ya Makamu Wake. Raisi na Makamu hawawezi kushitakiwa popote pale. Lengo la kumpa Raisi na Makamu wake kinga ni kuhakikisha ofisi ya Raisi inathibitika ili kufanikisha utekelezaji wa majukumu makubwa ya kitaifa. Hivyo madai yote dhidi ya Raisi na Makamu ni lazima yapitie bungeni kwanza. Mtu hawezi kuamka tu akasema leo hii hatumpendi fulani basi tumvue uanachama ili apoteze nafasi yake ya Uraisi au Umakamu. Kama hili litakuwa linafanyika, hatutakuwa na nchi bali gulio ya washenzi, ambapo kila muhuni anaamka tu na anamuondoa Raisi akijisikia.

========================================================================

JAMBO LOLOTE BAYA, likimtokea Makamu Wa Raisi, Dr.Emmanuel Nchimbi kipindi hiki hata baada ya kuachia nafasi, sisi tutalichukulia hili kama UHAINI. Kinara wa huo uhaini ni Dr. Asha Rose Migiro na wengine. Mlipoka madaraka ya bunge kwa kuifanya CCM ivumbe Ibara ya 50 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Na kwasababu mshaonesha nia ovu, hata baada ya 4 Septemba 2026, tutaangalia kwamba lolote litakalotokea kwa Dr.Emmanuel Nchimbi halikuanzia bungeni, hivyo ulikuwa ni UHAINI usio na uhalali.

JINAI haiozi, wote mliohusika na hili sakata, ombeni sana MUNGU hata siku moja asiingie mtu mwendawazimu kwasababu mtanyongwa na kupigwa risasi barabarani kama wanyama. Hili wala haliitaji ushahidi, tumeona mkivunja katiba waziwazi na kufanya mambo ambayo yanatishia usalama wa Makamu wa Raisi.
========================================================================

Wajinga wengi watatoa mfano wa kuondolewa kwa Aboud Jumbe Mwinyi, lakini ukweli ni kwambwa mwaka 1984, Mwinyi alikuwa Makamu wa Pili wa Raisi, ambaye aliongoza Zanzibar iliyokuwa haina hata KATIBA yake. Tena kubwa zaidi ni kwamba alikuwa anateuliwa na Wazanzibari tu, siyo watanzia wote.

Hili la sasa litasababisha matatizo makubwa mnoooo siku za karibuni.
=========================================================================

Wiki chache zilizopita wanasheria wa Tanzania wameenda ICC wakiongozwa na mwanasheria mkubwa ambaye jina lake hatutalitaja hapa. Kinachoendelea huko duniani ni kibaya na hata hii tume ya pili haitaweza kukizuia.

Binafsi huwa nasema hivi: NI SUALA LA MUDA TU..........


​
 
Famahamuni haya fika.

Mfumo wetu

Binafsi huwa nasema hivi: NI SUALA LA MUDA TU..........


​
Huwa najiuliza
Samia akifa leo kabla ya tarehe 4 , Rais anakua Ndejembi au anakua Nchimbi?
Maana Nchimbi tayari amefukuzwa uanachama na Chama chake kwa hiyo nafasi ya Rais inataka adhaminiwe na chama
Nauliza tu mkuu
 
Mkuu MALCOM LUMUMBA
Umekuwa ukitoa ushauri mzuri na prediction za kitaalam sana juu ya maswala ya uongozi na siasa kwa ujumla, Shukrani kwa bandiko.
Nina swali Moja kwako, Kwa yanayoendelea hivi sasa, Je ni uthibitisho kuwa ikulu kwa maana ya Rais ana nguvu kuliko chochote katika nchi au chama kina nguvu kuliko ?
How comes Makamu wa Rais kufanyiwa uhuni na hakuna Reaction yoyote ndani ya mifumo?
 
Mkuu MALCOM LUMUMBA
Umekuwa ukitoa ushauri mzuri na prediction za kitaalam sana juu ya maswala ya uongozi na siasa kwa ujumla, Shukrani kwa bandiko.
Nina swali Moja kwako, Kwa yanayoendelea hivi sasa, Je ni uthibitisho kuwa ikulu kwa maana ya Rais ana nguvu kuliko chochote katika nchi au chama kina nguvu kuliko ?
How comes Makamu wa Rais kufanyiwa uhuni na hakuna Reaction yoyote ndani ya mifumo?
Uraisi wa Tanzania hata akipewa binti yako wa miaka sita huwezi kumpigia kelele!​
 
Famahamuni haya fika.

Mfumo wettutalitaja hapa. Kinachoendelea huko duniani ni kibaya na hata hii tume ya pili haitaweza kukizuia.

Binafsi huwa nasema hivi: NI SUALA LA MUDA TU..........


​
Umeandika vizuri lakini kuweka sawa.
Migiro hakutoa Tangazo la kumtoa Nchimbi ila kama Chama wana haki ya kumfutia uanachama.
 
Hiki kilichofanyika kwa Nchimbi ni ushahidi tosha tuna katiba mbovu na iliyopitwa na wakati. Haiwezekani mtu aliyechaguliwa na wapiga kura milioni 31+ ashinikizwe kujiuzulu na watu wachache tu ndani ya chama cha siasa.
 
Umeandika vizuri lakini kuweka sawa.
Migiro hakutoa Tangazo la kumtoa Nchimbi ila kama Chama wana haki ya kumfutia uanachama.
Jiulize hivi kimantiki:

CHAMA KIMEMFUKUZA, halafu BUNGE LIKAKATAA KUMTOA MAKAMU, nini kitatokea ???

Tena jiulize hivi:

Raisi/Makamu wamechaguliwa na watanzania hata wasiokuwa na chama, unapomfukuza uanachama unawaambia nini watanzania wasiokuwa wana-CCM, kwamba leo hii CCM ikiamua tu ndiyo basi ???

HAKUNA KITU CHA NAMNA HIYOOOOO!
​
 
Back
Top Bottom