Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Shida ilianzia 👉"Zidumu Fikra Sahihi za Mwenyekiti wa Chama Chetu"Nina swali Moja kwako, Kwa yanayoendelea hivi sasa, Je ni uthibitisho kuwa ikulu kwa maana ya Rais ana nguvu kuliko chochote katika nchi au chama kina nguvu kuliko ?
How comes Makamu wa Rais kufanyiwa uhuni na hakuna Reaction yoyote ndani ya mifumo?