CCM fahamuni ushindi wa Lissu mnaweza kufananisha na reli ya standard gauge

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Kama bado hamjaelewa basi mfano hai ndio huo Lisu anashinda na ameshapita vibaya sana,pangeni mkipangua ,yaani kubalini tu ,msitake kufanya mizengwe,huu wakati sio,kuna maisha baada ya uchaguzi,japo hamna hamu nayo,lakini yanini yote,sisi sote wamoja hakuna mlete sababu ya kulinda kisicho lindika,serikali ya Magufuli imefeli vibaya sana ,japo yapo machache,tutachukua mazuri na mabaya tutawaachia CCM .
 
Kamanda naomba uwepo tarehe 29 na 30 mwezi ujao hapa jukwaani! Usikumbie jukwa!
 
Kwa wizi wa kura kama hivi
tapatalk_1600679267530.jpeg
 
Back
Top Bottom