CCM Familly Tree ikoje?

Sasa mkuu what is your point. Tujadiliane kwa hoja na sio maneno makali.

Je kura ya maoni inasemaje?

Hiyo healthcare bill haiko popular na maseneta na reps wengi watakaoipigia kwenye uchaguzi ujao watatoswa. Chris Dodd huyo kaamua kutogombea tena. Harry Reid ambaye tayari ana hatari ya kushindwa ndio keshajimaliza mwenyewe. Kuna huyo wa Nebraska naye keshaona alama za nyakati na kasema hagombei tena.
 
Kiranga,
Peter si mtoto wa Mramba. Baba yake alikuwa mtangazaji maarufu radio Tanzania enzi zile. Hii niliambiwa na mtu aliye karibu na Mama Mkapa
 
Mkuu kama watu wana uwezo wa kuongoza na wanakubalika kwa jamii sioni sababu ya kuwanyima ama kuwatenga uongozi eti kwa sababu baba/mama zao walikuwa viongozi
Balatanda,'
That is the problem. Wameshathibitisha kuwa huo uwezo wa kuongoza hawana. Lakini wapo tu kwa sababu ya majina yao. Mwinyi, Malima, wametoa uongozi gani? Tena yule Mwinyi alitakiwa ajiuzulu wizara ya ulinzi baada ya mabomu ya Mbagala lakini ripoti kaikalia na kuuchunia.
 
Siyo personal tumeona ndo wanapata uongozi.Tunataka kujua chanzo cha viongozi wetu.je ni hii family tree au ni uwezo wa kuongoza.Kama hayakuhusu ni wewe lakini kwa mambo yanavyokwenda kombo sasa hivi tunadhani hii family tree ndo imekua source ya nchi kushindwa kupata viongozi makini.
 
Mkuu kama watu wana uwezo wa kuongoza na wanakubalika kwa jamii sioni sababu ya kuwanyima ama kuwatenga uongozi eti kwa sababu baba/mama zao walikuwa viongozi
kwa uchumi na umaskini wetu huu hivi huo uwezo unaupimaje?
 
Mkuu kama watu wana uwezo wa kuongoza na wanakubalika kwa jamii sioni sababu ya kuwanyima ama kuwatenga uongozi eti kwa sababu baba/mama zao walikuwa viongozi
Mkuu B,
Hakika kama uwezo wa kazi unao hatutajalili Baba au Mama, Shangazi au Mjomba, Babamkwe au Mamamkwe walishika nafasi gani za Uongozi. Tatizo ni hizi FIX na PACHIKAPACHIKA kwa Majina na Koo hizo kwa hizo ndilo linalofikiriwa kuwa linajengwa au limeshajengwa na hayo ni Makosa na Matatizo tena makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…