CCM Familly Tree ikoje?

CCM Familly Tree ikoje?

Sasa mkuu what is your point. Tujadiliane kwa hoja na sio maneno makali.

Je kura ya maoni inasemaje?

Hiyo healthcare bill haiko popular na maseneta na reps wengi watakaoipigia kwenye uchaguzi ujao watatoswa. Chris Dodd huyo kaamua kutogombea tena. Harry Reid ambaye tayari ana hatari ya kushindwa ndio keshajimaliza mwenyewe. Kuna huyo wa Nebraska naye keshaona alama za nyakati na kasema hagombei tena.
 
Anna Mkapa alizaa mtoto na Basil Mramba kabla ya kuwa na Mkapa, mtoto mkubwa wa Anna anaitwa Peter ni mtoto wa Basil Pesambili Mramba.

Unaweza kusema haya mambo hayana tija kwa taifa, lakini wengine wanaweza kusema ni muhimu kuujua uongozi wetu vizuri, ukimjua mtu familia yake unaweza kujua mengi. Na kiongozi hatakiwi kuwa na siri kuhusu mambo ya kifamilia.
Kiranga,
Peter si mtoto wa Mramba. Baba yake alikuwa mtangazaji maarufu radio Tanzania enzi zile. Hii niliambiwa na mtu aliye karibu na Mama Mkapa
 
Mkuu kama watu wana uwezo wa kuongoza na wanakubalika kwa jamii sioni sababu ya kuwanyima ama kuwatenga uongozi eti kwa sababu baba/mama zao walikuwa viongozi
Balatanda,'
That is the problem. Wameshathibitisha kuwa huo uwezo wa kuongoza hawana. Lakini wapo tu kwa sababu ya majina yao. Mwinyi, Malima, wametoa uongozi gani? Tena yule Mwinyi alitakiwa ajiuzulu wizara ya ulinzi baada ya mabomu ya Mbagala lakini ripoti kaikalia na kuuchunia.
 
Kusema kwamba ni family tree ya CCM unakuwa haukitendei haki CCM hata kidogo,hao uliowataja ni wana CCM ambao wanaweza wakaondoka CCM muda wowote(wakiamua),na hata hiyo concept yako yenyewe naona ni moja ya mambo ambayo yako too personal(sijajua ni ipi sababu hasa ya kuihusisha na CCM)...Ni vizuri mambo haya ya kifamilia tukawaachia wanafamilia/wahusika wenyewe badala ya kuyahusisha na CCM..Ya kaizari.......
Siyo personal tumeona ndo wanapata uongozi.Tunataka kujua chanzo cha viongozi wetu.je ni hii family tree au ni uwezo wa kuongoza.Kama hayakuhusu ni wewe lakini kwa mambo yanavyokwenda kombo sasa hivi tunadhani hii family tree ndo imekua source ya nchi kushindwa kupata viongozi makini.
 
Mkuu kama watu wana uwezo wa kuongoza na wanakubalika kwa jamii sioni sababu ya kuwanyima ama kuwatenga uongozi eti kwa sababu baba/mama zao walikuwa viongozi
kwa uchumi na umaskini wetu huu hivi huo uwezo unaupimaje?
 
Mkuu kama watu wana uwezo wa kuongoza na wanakubalika kwa jamii sioni sababu ya kuwanyima ama kuwatenga uongozi eti kwa sababu baba/mama zao walikuwa viongozi
Mkuu B,
Hakika kama uwezo wa kazi unao hatutajalili Baba au Mama, Shangazi au Mjomba, Babamkwe au Mamamkwe walishika nafasi gani za Uongozi. Tatizo ni hizi FIX na PACHIKAPACHIKA kwa Majina na Koo hizo kwa hizo ndilo linalofikiriwa kuwa linajengwa au limeshajengwa na hayo ni Makosa na Matatizo tena makubwa.
 
Back
Top Bottom