Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Sasa mkuu what is your point. Tujadiliane kwa hoja na sio maneno makali.
Je kura ya maoni inasemaje?
Hiyo healthcare bill haiko popular na maseneta na reps wengi watakaoipigia kwenye uchaguzi ujao watatoswa. Chris Dodd huyo kaamua kutogombea tena. Harry Reid ambaye tayari ana hatari ya kushindwa ndio keshajimaliza mwenyewe. Kuna huyo wa Nebraska naye keshaona alama za nyakati na kasema hagombei tena.