JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Chonde chonde CCM
Msishupaze shingo.
Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka.
Kero hizi mbili.
1. Ardhi. Kwanini wa Zanzibar wakijua huku wananunua ardhi na wanapewa hati?. Kwanini watanganyika hawawezi kufanya hivyo?
2. Kwa Nini mzazibari anatawala bara na anasimamia mambo yasiyo ya Muungano? Mfano; DC na maafisa Ugani na maafisa afya? Ipo siku wataanza kuzomewa.
Embu jifungieni sehemu; tengenezeni mambo yakae sawa.
PIA SOMA
- Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?